Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Kuwa Boss raha.....mi nawagongaga kweli maana wanachekacheka sanaaaa
 
Hamna Wa kunigongea.
.
Maana watu wananiogopa maana nishawahi kumuua mmoja....
Jidanganye tu, wanawake tuna akili sana..tukichepuka tunakuwa makini sana kuliko nyinyi so huwezi jua utabaki kujisifu tu bure but ukitoka tu watu wanajigongea tu.
 
Jidanganye tu, wanawake tuna akili sana..tukichepuka tunakuwa makini sana kuliko nyinyi so huwezi jua utabaki kujisifu tu bure but ukitoka tu watu wanajigongea tu.
Sijawahi....maana mapenzi nayajua.....
 
Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa.

Jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.

XxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxX

Mrejesho:

Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.

Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.

Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.

Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.

Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.

Chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.

Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.

Sishabikii uzinzi maana karibu dini zote zinakataza jambo hilo isipokuwa dini moja inasema iwe hivyo kwa dharura lakini siyo ofisini. Hekima yangu inanituma kuwa mtoa mada ni mshikaji wa bosi huyo mwizi wa wake za wenyewe, na ndiye uliyepeleka taarifa kwa mume wa huyo mama mzinzi. Dini moja inaasa kuwa "heri wapatanishi". Inasikitisha maana ndoa ya watu imeshavunjika na bosi hana kazi! Huruma kwa wanao wategemea wakora hawa.
 
Hahahahaha! Eti heri wapatanishi..eti mleta mada ana...wewe una akili kweli? Vipi kuhusu wazushi vitabu vya dini vya semaje? Utakua umepunguza akili bar wewe..jipange lala pombe ikutoke then rudi tena.
 
Watu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?

Mbona unaangalia upande mmoja wa aliyevua ili hali ana mume kwake? Na huyu bosi? Atakuwa hana mke kwake? Lakini, kwanini ofisini? Nway, utamu wa chakula ukila njaa inapokushika.
 
Hahahahaha! Eti heri wapatanishi..eti mleta mada ana...wewe una akili kweli? Vipi kuhusu wazushi vitabu vya dini vya semaje? Utakua umepunguza akili bar wewe..jipange lala pombe ikutoke then rudi tena.

hahaha! Hakika umenifurahisha sana kwasababu nilitegemea hilo kutoka kwako. Kama uliweza kumchomea utambi mshindani wako kwa bosi utashindwa kuniambia mimi nimepunguza akili bar? Poa, ngoja nikalale kidogo. Nikija tutapanga ila ya kwetu si ofisini. Bosi kakuabisha.
 
Pole
 
sasa @ monica na wewe ukawa waendelea kuangalia muvie jamaa alipowalazimisha waendeleee? au ulitoka mbio? tell me movie ilikuwaje?...............
 
sasa @ monica na wewe ukawa waendelea kuangalia muvie jamaa alipowalazimisha waendeleee? au ulitoka mbio? tell me movie ilikuwaje?...............
Hahahahaha! Shauku ya macho kuona na masikio kusikia..na mwenye macho haambiwi tazama...
 
Hahahahaha! Shauku ya macho kuona na masikio kusikia..na mwenye macho haambiwi tazama...
ha ha ha ha naona muvi bado inatembea kichwani kwako.......bahati yako umeona live porn kati ya mandingo na cheriokee
 
ha ha ha ha naona muvi bado inatembea kichwani kwako.......bahati yako umeona live porn kati ya mandingo na cheriokee

mlioshuhudia hyo mechi live vp,wachezaji walikuwa wanauweza mchezo husika?
 
Back
Top Bottom