Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtia adabu tu..Unadhani ingekuwa solution?
Hamna Wa kunigongea.Nawewe unagongewa hivyo hivyo kama unavyofanya
Jidanganye tu, wanawake tuna akili sana..tukichepuka tunakuwa makini sana kuliko nyinyi so huwezi jua utabaki kujisifu tu bure but ukitoka tu watu wanajigongea tu.Hamna Wa kunigongea.
.
Maana watu wananiogopa maana nishawahi kumuua mmoja....
Sijawahi....maana mapenzi nayajua.....Jidanganye tu, wanawake tuna akili sana..tukichepuka tunakuwa makini sana kuliko nyinyi so huwezi jua utabaki kujisifu tu bure but ukitoka tu watu wanajigongea tu.
Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa.
Jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.
XxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxX
Mrejesho:
Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.
Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.
Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.
Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.
Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.
Chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.
Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.
Hahahahaha! Eti heri wapatanishi..eti mleta mada ana...wewe una akili kweli? Vipi kuhusu wazushi vitabu vya dini vya semaje? Utakua umepunguza akili bar wewe..jipange lala pombe ikutoke then rudi tena.Sishabikii uzinzi maana karibu dini zote zinakataza jambo hilo isipokuwa dini moja inasema iwe hivyo kwa dharura lakini siyo ofisini. Hekima yangu inanituma kuwa mtoa mada ni mshikaji wa bosi huyo mwizi wa wake za wenyewe, na ndiye uliyepeleka taarifa kwa mume wa huyo mama mzinzi. Dini moja inaasa kuwa "heri wapatanishi". Inasikitisha maana ndoa ya watu imeshavunjika na bosi hana kazi! Huruma kwa wanao wategemea wakora hawa.
Watu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?
Hahahahaha! Eti heri wapatanishi..eti mleta mada ana...wewe una akili kweli? Vipi kuhusu wazushi vitabu vya dini vya semaje? Utakua umepunguza akili bar wewe..jipange lala pombe ikutoke then rudi tena.
Polehahaha! Hakika umenifurahisha sana kwasababu nilitegemea hilo kutoka kwako. Kama uliweza kumchomea utambi mshindani wako kwa bosi utashindwa kuniambia mimi nimepunguza akili bar? Poa, ngoja nikalale kidogo. Nikija tutapanga ila ya kwetu si ofisini. Bosi kakuabisha.
Hahahahaha! Shauku ya macho kuona na masikio kusikia..na mwenye macho haambiwi tazama...sasa @ monica na wewe ukawa waendelea kuangalia muvie jamaa alipowalazimisha waendeleee? au ulitoka mbio? tell me movie ilikuwaje?...............
ha ha ha ha naona muvi bado inatembea kichwani kwako.......bahati yako umeona live porn kati ya mandingo na cheriokeeHahahahaha! Shauku ya macho kuona na masikio kusikia..na mwenye macho haambiwi tazama...
KWA JINSI MAOVU YANAVYO FANYIKA HATA IBILISI AMECHOKA KUWAPA ULINZI, THAT'S WHY NDO MANA HATA MLANGO HAWAKUFUNGA.......
ha ha ha ha naona muvi bado inatembea kichwani kwako.......bahati yako umeona live porn kati ya mandingo na cheriokee