Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dayyuuuum! He spit her out like no other. She is a female version of him.
Mkuu Ab-Titchaz;667961 Umenifurahisha sana nimependa sana uamuzi wako hata kama mimi ni Mwendesha Mashtaka yaani kwa lugha ya kizungu (Prosecutor) namwambia hakimu itabidi wazae mtoto kisha niwapime Damu yao kwa njia ya (DNA) nihakikishe kuwa huyo ni mtoto wao wote wawili ndio nitawapa hiyo Uraia ama sivyo wote wawili nitawarudisha kwaoKama mie jaji natoa uamuzi ufuatayo...mpaka wazae mtoto n'd'o
nimpe uraia.
Kisha tuone kama huyu dingi hatachanganyikiwa akili.
Msiwaseme wa Nigeria tu, The same shirt ina happen sana hata kwa Watanzania waishio nje.. !
Tongue Blizer,huwezi ukacompare large scale criminality ya Wanigeria na wa Tz ughaibuni.Ukiangalia prison za nchi zote za ulaya ,utakuta mnigeria.Serikali ya Uingereza inataka Kujenga gereza Nigeria ili kuwatransfer inmate wa Kinigeria wakaserve huko kwao!After Wajamaica,Wanigeria wanafuatia kwenye criminality.
Hata Thailand wako kwenye death row due to drugs.Watanzania hawajafika huko.
Nadhani mkuu nimeongelea katika issue hii ya ndoa za karatasi , Issue zingine ziwapelekazo prison Wanigeria siwezi ku comment kwasababu sina data zozote za wafungwa kwenye magereza ya nje.
Kila mtu ana matatizo yake na anatatua kivyake. Ili mradi hajaua mtu, mwache atoke kivyake tu (though i must admit this has gone far if it is true). Vitu vingi vizuri viko majuu, na vitu vingi vizuri viko afrika, kila mtu anapima kivyake.Njaa na utumwa wa akili..hivi kuna nini ambacho kipo huko uingereza/US hakipo Tanzania/Nigeria? kama siyo utumwa wa akili?? nenda kwa legal issues/activities kwenye nchi za watu na siyo upuuzi kama huu aagh! damn
Waafrika tunachuki wenyewe kwa wenyewe. Sasa jamaa huyo inamuuma nini kama baba mtu anataka kumsaidia mwanae? Hizi ndizo chuki za maendeleo tulizokuwa nazo sisi Waafrika. Warussi wanafanya madhabe kibao ili wakae nchi za Ulaya. Chuki za maendeleo hazina mpango ndugu zangu. Tuungane pamoja (kwa njia yoyote) tuuondoe huu umaskini uliokufuru ndani ya Afrika.