Afunga Ndoa na Binti Yake Ili Kupata Pasipoti ya Uingereza

Afunga Ndoa na Binti Yake Ili Kupata Pasipoti ya Uingereza

watu wantumia mbinu mbaya na chafu-ili mradi tu waende nje ya nchi.Nakwambia maisha yanawezekana popote,c mpaka utende dhambi ili uende ulya!!
 
Kama mie jaji natoa uamuzi ufuatayo...mpaka wazae mtoto n'd'o
nimpe uraia.

Kisha tuone kama huyu dingi hatachanganyikiwa akili.
 
Dayyuuuum! He spit her out like no other. She is a female version of him.

Looks like a straightforward case of father-daughter incest to me. I wonder which Ethnic group they to belong to in Nigeria? Who knows, it might be the case that this kind of incestuous relationship is justified in the context of their ethnic beliefs and practices. Everything is possible in Nigeria, you know?
 
Haya kweli maajabu, ufunge ndoa na mtoto wako kisa makaratasi!!!! Hii kweli kali, kwani huko ughaibuni kuna raha gani hadi mtu ufanye utapeli wa jinsi hii.
Maisha ni popote pale, usilazimishe kupata makaratasi kwa njia isiyo halali.
 
Kama mie jaji natoa uamuzi ufuatayo...mpaka wazae mtoto n'd'o
nimpe uraia.

Kisha tuone kama huyu dingi hatachanganyikiwa akili.
Mkuu Ab-Titchaz;667961 Umenifurahisha sana nimependa sana uamuzi wako hata kama mimi ni Mwendesha Mashtaka yaani kwa lugha ya kizungu (Prosecutor) namwambia hakimu itabidi wazae mtoto kisha niwapime Damu yao kwa njia ya (DNA) nihakikishe kuwa huyo ni mtoto wao wote wawili ndio nitawapa hiyo Uraia ama sivyo wote wawili nitawarudisha kwao

Msiwaseme wa Nigeria tu, The same shirt ina happen sana hata kwa Watanzania waishio nje.. !

Tongue Blizer,huwezi ukacompare large scale criminality ya Wanigeria na wa Tz ughaibuni.Ukiangalia prison za nchi zote za ulaya ,utakuta mnigeria.Serikali ya Uingereza inataka Kujenga gereza Nigeria ili kuwatransfer inmate wa Kinigeria wakaserve huko kwao!After Wajamaica,Wanigeria wanafuatia kwenye criminality.
Hata Thailand wako kwenye death row due to drugs.Watanzania hawajafika huko.

Nadhani mkuu nimeongelea katika issue hii ya ndoa za karatasi , Issue zingine ziwapelekazo prison Wanigeria siwezi ku comment kwasababu sina data zozote za wafungwa kwenye magereza ya nje.

mimi nina muunga mkono Mkuu mwanamasala katika hii Dunia watu weusi wanaongoza kwa mambo mabaya Baada ya Wajamaika wanaofuatia ni Wanigeria wanaoogoza kwa kila kitu kibaya angalia hapa hini kuhusu hao Wanigeria
Nigeria - The 419 Coalition Website

We Fight the Nigerian Scam with Education

LINKS TO SITES FIGHTING THE NIGERIAN SCAM HERE!!

Most in English, but also some in French, Dutch, Swedish & Portuguese languages. Notes

http://home.rica.net/alphae/419coal/
 
Njaa na utumwa wa akili..hivi kuna nini ambacho kipo huko uingereza/US hakipo Tanzania/Nigeria? kama siyo utumwa wa akili?? nenda kwa legal issues/activities kwenye nchi za watu na siyo upuuzi kama huu aagh! damn
 
Kila mtu ana matatizo yake na anatatua kivyake. Ili mradi hajaua mtu, mwache atoke kivyake tu (though i must admit this has gone far if it is true). Vitu vingi vizuri viko majuu, na vitu vingi vizuri viko afrika, kila mtu anapima kivyake.
 
Waafrika tunachuki wenyewe kwa wenyewe. Sasa jamaa huyo inamuuma nini kama baba mtu anataka kumsaidia mwanae? Hizi ndizo chuki za maendeleo tulizokuwa nazo sisi Waafrika. Warussi wanafanya madhabe kibao ili wakae nchi za Ulaya. Chuki za maendeleo hazina mpango ndugu zangu. Tuungane pamoja (kwa njia yoyote) tuuondoe huu umaskini uliokufuru ndani ya Afrika.
 
I beg to differ with you completely. Hatuwezi kuungana kutatua umaskini wetu kwa njia za kishetani kama hizi. Tuungane katika mambo ya msingi tuchape kazi vizuri, na viongozi wetu waache ubinafsi wao wa kujilimbikizia mali na kuuza maliasili zetu hapo tutapiga hatua kubwa ya maendeleo na wananchi watabakia kwenye nchi zao maana wanachokikimbilia huko Ulaya na kwingineko itakuwa kinapatikana katika nchi zao pia.
 
Back
Top Bottom