Afungua na kuendesha ubalozi bandia India kwa miaka 7

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Screenshot_20250723_185037_Instagram.jpg

Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala).

Vilivyokamatwa:
  • Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12)
  • Rs 44 lakh taslimu, sarafu za kigeni
  • Saa za gharama kubwa, hati bandia

Jain alijificha kwa kuanzisha "ubalozi" huko Ghaziabad na bendera za India na Westarctica (nchi bandia isiyotambuliwa). Alitumia picha zilizobadilishwa na marais na kuandaa bendera kwa kuonesha uhalali.

Westarctica ni nchi iliyoanzishwa na Travis McHenry mwaka 2001 katika eneo la Antarctica lakini haitambuliki kimataifa. Ilitangaza ubalozi wa Jain kwenye Instagram siku chache kabla ya kukamatwa kwake.

Kesi hii inaonyesha hatari ya micronations katika udanganyifu. Jain pia alihusishwa na mhalifu maarufu Chandraswami.
 
View attachment 3416055

Kau pigaa mwingii tangu 2017
 
Back
Top Bottom