Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,107
- 9,272
Mnapotosha, nchi ipo, ila ni zile micronation, kunasehemu zinatambulika.
Issue ni uwepo wa fact, unatumia njia gani kuiwakilisha ni issue ya mtoa uzi. Kimsingi hakuna uwongo
Mwaka 2011, Jain alikamatwa kwa kumiliki simu ya setilaiti bila kibali rasmi.Watu wa hivi nawahusudu sana..they won't settle for less
NakaziaUkute alikuwa anakula na watu wa Serikali
Kuna watu waliojaliwa ujasiri na uwezo wa kutumia akili zao kiusahihi kwa wakati sahihi ili kutimiza malengo yao.Aingie moja kwa moja kwenye Guiness book of records
Kuna watu waliojaliwa ujasiri na uwezo wa kutumia akili zao kiusahihi kwa wakati sahihi ili kutimiza malengo yao.
Amazing...!!
Naunga hoja✊🏿Aingie moja kwa moja kwenye Guiness book of records
Yap bendera ya India lazima iwepo kuzugia na kaiweka chini ya Nchi yake kaiweka juu..Ila bendera moja ni ya India
😀😀😀Hapa bongo ukianzisha ubalozi wa nchi ya Crefisa utawadaka wengi.