henrymimbo
New Member
- Apr 23, 2024
- 2
- 1
UTANGULIZI
afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili bora
1: Kipindi mama anajigundua mjamzito
Kipindi hiki mentality ya mama kukubali kuwa mjamzito na kuipokea vizuri ni muhimu sana ili kuweza kuimarisha na kujenga hormone kwaajili ya makuzi ya mtoto tumboni hapa wazazi wengi haswa wa kiume kukataa mimba inasababisha mama kuwa na sonona(depression) kupelekea kudesturb hormone zinazohusiana na kulinda na kutunza mimba pia mama kuwa na mawazo hata ya kutoa mimba
2: KIPINDI CHA ULEZI WA MIMBA MIEZI 9
kipindi hiki ni muhimu mama kuwa makini na kuhudhulia clinic kila mwezi ili kupata mwongozo mzuri na kupimwa afya yake na ya mtoto ili kuhakikisha mama na mtoto wapo salama na kipindi hiki mama haruhusiwi kutumia dawa ya aina yoyote bila maelekezo ya wataalamu wa afya hii husidia kwaajili ya usalama wa kiumbe alieko tumboni
Pia mama anatakiwa ale vizuri vyakula vyote vyenye virutubisho ili mtoto apate virutubisho vyote vitakavyomuimarisha na kimwili kiafya ya akili kwani atakachokula mama pia mtoto atakihitaji kwaajili ya makuzi yake qkiwa tumboni
3: WAKATI WA KUJIFUNGUA
Hapa tunawahusisha wataalamu wa afya haswa wakunga kuwa makini kujua dalili za hatari za mtoto wakati wa kujifungua ili kujua ni namna gani watamsaidia mtoto asitoke mwenye akili zoofu yani (LOW SCORE) hili ni janga kwa taifa hvyo kupata taifa la baadae lenye akili zoofu
4: KIPINDI CHA ULEZI MIEZI 6 BAADA YA KUJIFUNGUA
hii stage inamuhusu mama yaani mama anapaswa kuwa makini kwenye kumlea mtoto,mtoto anapaswa kunyonya maziwa ya mama pekew ndani ya miezi 6 pasi na kunywa au kula kitu chochote wamama wengi ni wavivu kunyonyesha hvyo kutumia maziwa mbadala (lactogen) yaan maziwa ya kopo hii husababisha watoto kukosa vitu muhimu vinavyopatikana kwenye maziwa ya mama hvyo kusababisha kuwa na kizazi chenye akili zoofu hii ni hatari sana pia mama anapaswa kujua dalili za hatari ili kuweza kuwahi kituo cha afya ili mtoto asaidiwe kwa haraka mfano mtoto kupata degedege hii husababishwa na moja ya sababu mtoto kupata joto kali sana na degedege likikaa kwa mda mrefu huaribu system ya ubongo hivyo kusababisha mtoto kuwa na akili zoofu
HITIMISHO
Tukiweza kuzingatia hizi stage 3 kwa mamini tanzania tunaweza kutengeneza kizazi cha watoto wenye akili kwa sasa hali ni mbaya kadri miaka inavyozidi kusogea tunatengeneza kizazi cha watoto wenye akili zoofu hawana akili ya kupembua mambo kusababisha kutokuwa na msaada kwa taifa hili inabidi tutengeneze kizazi cha watoto watakaokuja kuwa wakombozi wa taifa hili wenye akili hii itasaidia kufikia TANZANIA tunayoitamani siku moja
#I LOVE TANZANIA🇹🇿
🇹

Upvote
3