mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Acha kabisa pad za HQ ni noma... Hata.mie hutumia hizo, na pia huwa haziwashi kama pads nyingine.
Sasa akuje atueleze jama zina ubora....
Wajuzi njooni baasi mtujuze...usijekuya haka kaupepo kama AC kana tudhuru sie twachekelea
Mmh kuhusu pad 2tumie zp waungwana
2mekupata, ila naomba kujua majmaj yalio ktka har ya ute mziko kias kama ujiuj yenyerang kama maziwa inayokarbiana na nyeupe nikiashiria cha dalili ip hapo?
2mekupata, ila naomba kujua majmaj yalio ktka har ya ute mziko kias kama ujiuj yenyerang kama maziwa inayokarbiana na nyeupe nikiashiria cha dalili ip hapo?
Yaan kuna kila aina ya pad mpaka wanatuchoshaa ila Ya kafen ni chibokooooo