mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Acha kabisa pad za HQ ni noma... Hata.mie hutumia hizo, na pia huwa haziwashi kama pads nyingine.
Sasa akuje atueleze jama zina ubora....
Wajuzi njooni baasi mtujuze...usijekuya haka kaupepo kama AC kana tudhuru sie twachekelea