Afya ya mwanamke na uke

Afya ya mwanamke na uke

2mekupata, ila naomba kujua majmaj yalio ktka har ya ute mziko kias kama ujiuj yenyerang kama maziwa inayokarbiana na nyeupe nikiashiria cha dalili ip hapo?
 
Nadhani wanawake wakienda kwa mtindo wa Kugeana elimu kwa style hii wengi wanatabadilika. Tatizo wengi wanakosea wanapoanza kumdhalilisha mtu mara kumsema vibaya mwisho wa siku naye ana panic hakuna kinachoeleweka. Shukran mtoa post na wachangiaji wote. Mdo mdo tutafika tu
 
Back
Top Bottom