Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata mkuuPole sana sana
Kuna wakati mwingine tunashuku na kudhani labda ni chakula au karanga unakuwa navyo na allergies ila unaweza kukuta sivyo kabisa
Labda ni sabuni ya Unga unayotumia kwa kufulia nguo zako
Au inaweza kuwa godoro unalolalia pia
Hebu usitumie sabuni ya Unga badala yake tumia ya kawaida, na kama una bedding zote badili anza na zingine
Labda ungeanza na hizo za kitanda labda mchawi ni sabuni
Nimekuelewa sana tu. AsanteVITU vya kuchunguza kabla ya tiba ni kaulimi.iwapo kaulimi ni karefu hata utumie dawa vipi ni ngumu lazima uende hospital na ukate.
- mbili chunguza minyoo nayo huwa inazingua
-tatu chunguza kifua.nenda hospital kubwa usiogepe gharama
Mwisho kukaa na ugonjwa muda mrefu ni vyanzo vya magonjwa mengine
Pole sana,nenda ucheki vipimo vya mwili wote kwenye MRIWana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.
Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
- Nyama
- Samaki
- Kalanga
- Maharagwe
- Dagaa, nk
Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;
- Chapati
- Mandazi, nk
Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.
Nishapima;
- X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
- Makohozi yakuotesha negative
- HIV - negative
- Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine
Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!
Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.
Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru. [emoji33]
Umenikumbusha kitu.tafuta dawa inaitwa Montelukast kunywa siku 10 kila siku usiku kidonge 1! kitayeya
Pole Sana, Mimi pia napitia hali ya kikohozi nimekunywa madawa mengi ya hospitali na kienyeji lakini wapi, x-ray , makohozi, vyote vipo vizuri , asali, vitunguu nk vyote nimetumia lakini wapiWana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.
Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
- Nyama
- Samaki
- Kalanga
- Maharagwe
- Dagaa, nk
Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;
- Chapati
- Mandazi, nk
Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.
Nishapima;
- X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
- Makohozi yakuotesha negative
- HIV - negative
- Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine
Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!
Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.
Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru. [emoji33]
Wana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.
Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
- Nyama
- Samaki
- Kalanga
- Maharagwe
- Dagaa, nk
Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;
- Chapati
- Mandazi, nk
Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.
Nishapima;
- X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
- Makohozi yakuotesha negative
- HIV - negative
- Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine
Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!
Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.
Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru. [emoji33]
Black Pepper Black Pepper Black Pepper Black Pepper Black PepperWana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.
Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
- Nyama
- Samaki
- Kalanga
- Maharagwe
- Dagaa, nk
Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;
- Chapati
- Mandazi, nk
Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.
Nishapima;
- X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
- Makohozi yakuotesha negative
- HIV - negative
- Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine
Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!
Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.
Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru. [emoji33]
Nimekuelewa mkuu. Asa hao ma doctor nawapateje, make sikuhiz ma doctor niweng. Naote wamevaa sura za kidoctorHabari!
Hapa kuna mifumo miwili ambayo iko karibu na inaweza kuhusika kwa pamoja kwenye dalili unazozieleza:
1: Mfumo wa chakula
2: Mfumi wa hewa
3: Maumbile karibu na mifumo husika
Kuna mambo ambayo yanaweza kuathiri mifumo yote miwili kwa wakati mmoja. Na hivyo kuweka ugumu wa kujua kipi kimeanza.
1: Mfumo wa chakula(GERD)
Hili ni tatizo ambalo linaweza kuleta athari kwenye mifumo yote miwili. Matokeo ni kushindwa kujua nani kamuanza mwenzake kwani inakuwa ni duala la dalili/ mzunguko wa dalili. Hii huweza kuanzisha kwa shida ndani ya mfumo wa chakula au nje ya mfumo husika.
2: Allergy hasa kifua
Ni tatizo ambalo linaweza kuathiri mifumo yote miwili kwa wakati mmoja. Au mmojawapo na baadaye madhira kuhamia kwingine. Kwani ukila kitu kinachoanzisha allergy, matokeo yaweza kuonekana kirahisi upande wa njia ya upumuaji lakini pia kwenye mfumo wa chakula wenyewe. Allergy ya kwenye kifua isipopata tiba sahihi huweza kuathiri uwezo wa utendaji kazi wa mapafu na dalili kuwa mara kwa mara au zisizoisha.
3: Maambukizi/shida ya kifua
Huweza kusababisha umezaji wa chakula kuwa shida, inakuwa ni suala la timing. Ukila tu kikohozi huanza. Hii pia inaweza kuhusisha maumbile nje kuzunguka mfumo wa upumuaji.
4: Dalili nyingine ni madhira/ complications
Uwepo wa shida moja kwa muda mrefu huweza pia kusababisha madhira mengine. Ambayo huongeza mchanganyiko wa dalili.
MAONI BINAFSI
Kupata mtaalamu wa afya ambaye atakupatia muda wa kutosha kujieleza na ukaguzi. Usichoke au kukata tamaa kujieleza. Pia ni muhimu kuwa na tabia ya kutengeneza faili lako la maelezo, vipimo na dawa ulizowahi kutumia na kwa muda gani.
Pia jitahidi kuandika maelezo ya jinsi tatizo lilivyoanza na dalili za mwanzo, nini kilifuata, hii utakusaidia kwenye kutoa taarifa sahihi. Mapito ya kazi, atumizi ya manukato, milo yako, historia ya familia kama allergy nk. na maisha kwa ujumla pia ni muhimu.
Baada ya kumwona mtaalamu wa kwanza
kulingana na yatakayopatikana pamoja na kuangalia/kufanya ukaguzi wa mwili kuna speciality ambazo anaweza kupendekeza uzione.
Binafsi kwa machache yaliyopo ninaona wafuatao ni muhimu wakuone pia kama uko kwenye mazingira wanayopatikana:
1: Gastroenterologist/daktari bingwa wa njia ya chakula.
2: Pulmonologist/Daktari bingwa wa mfumo wa upumuaji.
Ni muhimu kuzingatia kuwa tiba nyingi si dawa tu, bali kuzingatia mabadiliko ya mfumo wa maisha kwa kadri utakavyoelekezwa.
Kiungulia xipat. Yan nikukohoa tu. Inafika sehem natumia nguvu xana kukohoa mfrulizo mpaka nahisi mbavu zinaumaYawezekana ukawa na gastroesophageal reflux disease Gerd
Ama allergy
Kapime madonda ya tumbo pia
Ukilala flat bila mto unapata shida
Ama kiungulia?
Au kukohoa?
NakuandikiaNimekuelewa mkuu. Asa hao ma doctor nawapateje, make sikuhiz ma doctor niweng. Naote wamevaa sura za kidoctor