Ni kijana na siyo mzeeTu2 siyo kijana bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kijana na siyo mzeeTu2 siyo kijana bwashee!
Ni tapeli hana lolote ni mtu wa maslahi, sahivi CUF wakiwa na fursa atahamia yeye kwake kwanza maslahi binafsiJamaa yuko vizuri Sana, Ni miongoni mwavijana wakweli kweli,
Maoni yangu
Kama siku moja tutamlata Kafulila kama kiongozi wa Kitaifa naamini kuna jambo kubwa Kafulila atalifanyia Taifa.
Huyu Mwamba yuko bold Sana katika nafasi aliyowahi kuikalia
Rais Samia endelea kumtumia huyu mtu atakusaidia Sana kwani anayoakili kubwa
Kafulila bado mdogo sanaNi kijana na siyo mzee
Acha bangi wewe,kafulila ni mdogo sana kazaliwa 1982 ana miaka 40 kwa sasaYule umri Sawa na Sadifa 49!
Acha bangi wewe,kafulila ni mdogo sana kazaliwa 1982 ana miaka 40 kwa sasa
Tumtunze ni hazina ya kesho,Acha bangi wewe,kafulila ni mdogo sana kazaliwa 1982 ana miaka 40 kwa sasa
Tapeli kuliko Mbowe?Ni tapeli hana lolote ni mtu wa maslahi, sahivi CUF wakiwa na fursa atahamia yeye kwake kwanza maslahi binafsi
Tumbili ashaliwa kichwaLkn Sasa tumbili Yuko jikoni huko Simiyu.
Jaji kwa mbali sura yake inafanana na ya Raila Jaramogi Odinga wa Kenya.Sasa mnageuza kuwa anamwambia kuwa ni tumbili, maana yake ni kwamba wewe kama hujui mambo ya huko jioni huwezi kujua” amesema Jaji Werema
😀😀NikweliJaji kwa mbali sura yake inafanana na ya Raila Jaramogi Odinga wa Kenya.
SioAu sio
😂😂😂Leo TUMBILI wamekata umeme kwenye reli ya SGR. Mh Kafulila ongea na wenzako wasirudie tena.
TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete
TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa...www.jamiiforums.com
View attachment 2302123
AG Mstaafu Mhe Jaji Warema azungumzia sakata la kumwita RC David Kafulila "tumbili"
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amezungumzia sakata la kumuita tumbili aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.
Jaji Warema amezungumzia sakata hilo wakati wa mahojiano maalumu na waandishi wa Mwananchi huku akibainisha alitumia jina hilo kama msemo wa Kiganda ukimaanisha ukiwa jikoni ndivyo unavyoweza kubaini mambo.
Sakata hilo ambalo lilikuwa gumzo bungeni na kuibua mvutano kati ya Jaji Warema na Kafulila ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lilitokea Juni mwaka 2014.
Jaji Werema alimwita Kafulila tumbili huku ikiwa ni katika hali ya kujibu mapigigo, Kafulila akamuita mwanasheria huyo mwizi.
Katika mahojiano hayo maalumu na Mwananchi yaliyofanyika hivi karibuni, Jaji Warema amesema “Tumbili haamui mambo ya jikoni, maana yake nilikuwa namaanisha kuwa tumbili haamui mambo ya msituni,
Sasa mnageuza kuwa anamwambia kuwa ni tumbili, maana yake ni kwamba wewe kama hujui mambo ya huko jioni huwezi kujua” amesema Jaji Werema