AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

Kafanya nini cha ajabu??
 
Sasa mnageuza kuwa anamwambia kuwa ni tumbili, maana yake ni kwamba wewe kama hujui mambo ya huko jioni huwezi kujua” amesema Jaji Werema
Jaji kwa mbali sura yake inafanana na ya Raila Jaramogi Odinga wa Kenya.
 
😂😂😂
 
Siasa zilikuwa za moto sana
 
🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…