Aga Khan mmekosa utu na kuweka mbele maslahi kuliko huduma kwa wananchi

Serikali wajikite kuboresha tu hospitali za serikali ili hao aghakhani wakose wagonjwa.Itungwe Sheria kiongozi kama rais,waziri,mbunge n.k wakiugua ugonjwa lazima watibiwe hapahapa nyumbani.Hii itasaidia kuboresha hospitali za ummaa.afrika kusini wameweza Kwa Nini Tanganyika tushindwe?
 
Biashara huru, unaweweza kulipia, lipia huduma zao. Huwezi kulipia usiende. Simpo.

Mbona Kempinski bei ya kitanda ni mpaka dollar 500 kwa usiku mmoja na kuna gesti ya shillingi elfu tano tu. Hulazimishwi.
 

Usiende huko Aga Khan, nenda hospitali nyinginezo ili wakose soko. Hawa NHIF hawalazimishwi kuganya biashara na Aga khan hospital. Wenye pesa zao walipie huduma wanYotaka kwasababu wana uwezo wa kwenda popote Duniani, hatuwezi kuwa sawa kwa kila kitu. Serikali hata ikiweka taxes, bado watu wataenda Aga khan kupata huduma ikiwa ni pamoja na viongozi wakubwa.
 
Nyie ndo mnachangia kujaribu HUDUMA za afya kwa fikra zenu za kijinga
Kama HUDUMA za serikali ni nzuri Kama Aga Khan si uende huko

Nyie siku mkipanda ndege za kimataifa mtalazimisha wote mlipe sawa na room za first class zivunjwe

Mnaua uchumi kwa kulazimisha wote mfanane ili kuondoa ushindani

Kama Bima yenu imeshindwa msilazimishe Aga Khan washushe viwango vyao kwa ajili fikra zenu za kipambavu kabisa

Wacha wahudumie watu cash

Na hii imekuwa desturi ya kijinga kabisa kutaka kushusha standard Hadi kwenye elimu ili mfanane ujinga
 
Itungwe wakati hata wabunge wako covered kutibiwa nje ya nchi??
 
Na bado hadi maji muite mmaaa....Mtukufu Agha Khan kazia hapo hapo usiachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…