Age is just a number

Age is just a number

Daniel Adrian

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
311
Reaction score
326
Kama nilivyoanza hapo kwenye title. Age is just a number.

Natafuta mwanamke ambae tutaanzisha mahusiano kwa mlengo mmoja tu, tuje tufunge.

Umri mie nakubali wowote ule kuanzia 18 - 40.
Kwanini ? Mara ya kwanza nilikuja kwa lengo la kutafuta mwanamke ila ni kaweka restriction kubwa ya umri jambo ambalo lilinicost kwa sababu walikuja wanawake fulani PM, nikawa-push aside. Nilifanya hivyo nikitarajia a certain young lady would come so we could plan our future.

Lakini nikagundua kuwa chance ya kupata mwanamke kijana ni 0.00001%

Sasa mie hakuna kitu nnachohitaji kwa sasa zaidi ya kuoa, na umri niliopanga kuoa unanitupa mkono.

✓Kama wewe ni mwanamke mwenye elimu angalau ya Form 4.
✓Sio golikipa, angalau unajishughulisha na CHOCHOTE.
✓Dini yoyote.
✓Si mfupi sana.

Basi njoo tuyajenge.

-Mimi umri wangu ni 27 - 30. Kama utaridhia.
-Elimu Diploma.
-Muajiriwa kwenye Firm fulani hapa Dar.
-Sina mtoto.
-Unataka kujua zaidi ? Njoo PM.

Angalizo: Uwe tayari kupima afya.
 
K

Kupima afya ipi sasa,uzito au.
 
Naitwa Rose Nitumie no yako ya Whatsapp
 
Wanaume alisi tunazidi kuisha, yani mtu unashindwa kutongoza mabinti kibao mitaani unakuja "kuomba uchumba" mitandaoni. Low value men looking for low value women. Shame.
 
Namba please

Back
Top Bottom