Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna, ukitaka kupanda msimu ujao shart ukanunue.
Sasa Mpango huu wa kuzipoteza mbegu asili ni rasmi upo kutuletea njaa huko mbeleni, ni kutufanya tuwe tegemezi ikitokea wametunyima misaada ya mbegu huko mbeleni Kwa sababu wazijuazo wao.
Sasa ni muda wa kuamka na kuweka ulinzi kwenye benki zetu za mbegu asili maana njaa Inakuja ulimwenguni kote na ni ya kutengeneza Ili kuhakikisha Nchi zetu zinapiga magoti na kutawaliwa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏