Agenda ya Josephat Gwajima kuhusu benki ya mbegu za Asili izingatiwe

Mbegu za asili zina ladha nzuri, ugali ni mzuri, matunda ni mazuri, mchele ni mtamu una harufu na ladha nzuri, mihogo na viazi ni mzuri. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mbengu za asili na za kisasa
Umewahi kula apple la kisasa la South Africa na apple la kienyeji la Njombe au Lushoto ukaona tofauti yake?
 
Hili suala ni janga la ARV jingine huko mbeleni. Imagine jamaa mmoja anakata supply ya mbegu, mbolea na viuatilifu ndani ya mwaka mmoja tu.
 
Hellow Tanganyika!!

Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.

Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna, ukitaka kupanda msimu ujao shart ukanunue.

Sasa Mpango huu wa kuzipoteza mbegu asili ni rasmi upo kutuletea njaa huko mbeleni, ni kutufanya tuwe tegemezi ikitokea wametunyima misaada ya mbegu huko mbeleni Kwa sababu wazijuazo wao.

Sasa ni muda wa kuamka na kuweka ulinzi kwenye benki zetu za mbegu asili maana njaa Inakuja ulimwenguni kote na ni ya kutengeneza Ili kuhakikisha Nchi zetu zinapiga magoti na kutawaliwa.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Kama Taifa,
tutaendelea kutumia mbegu bora za muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kulingana na misimu ya hali ya hewa ya eneo husika humu nchini.

Mbegu za mazao ya chakula na biadhara ni salama kwa walaji na hakuna madhara yoyote ya kiafya.

Hakuna haja ya kubababika wala kuweweseka na fear of unknown.

Uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako gentleman 🐒
 
Hebu rudisha hii kadamnasi kwenye mada. Uzi unaharibika kwa sababu ya Wapuuzi.

Moderate au uombe mods wafute tu
 
Hellow Tanganyika!!

Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.

Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna, ukitaka kupanda msimu ujao shart ukanunue.

Sasa Mpango huu wa kuzipoteza mbegu asili ni rasmi upo kutuletea njaa huko mbeleni, ni kutufanya tuwe tegemezi ikitokea wametunyima misaada ya mbegu huko mbeleni Kwa sababu wazijuazo wao.

Sasa ni muda wa kuamka na kuweka ulinzi kwenye benki zetu za mbegu asili maana njaa Inakuja ulimwenguni kote na ni ya kutengeneza Ili kuhakikisha Nchi zetu zinapiga magoti na kutawaliwa.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Wewe ukila chungwa lenye mambegu mengi ya kutosha kupanda ekari moja kila muda uwe unatema tema mbegu unapokula ndio unasikia raha??
 
Hopeless rhetoric.
unajitia ukuu ambao huna
The world is changing dada, amka kwa shemeji yako, hamna wa kuzuia mafuriko haya na bahati mbaya sana Trump is leading the world in a real sense
 
Umewahi kula apple la kisasa la South Africa na apple la kienyeji la Njombe au Lushoto ukaona tofauti yake?
lile south africa ni laini, ila halina makovumakovu kama haya ya njombe na lushoto. Sasa shangaa kuna embe kubwa ina ladha kama apple, mti wake unauzwa elfu kumi, wanasema ni muembe wa kisasa
 
Ludicrious.
Trump or Fascists and their fanatics

#bigot
Unfortunately ndio analead sasa, upende, utake usitake nenda kasugue goti coz bado yupo sana tu! A business leader analead wanasiasa waongo sasa ni biashara kila kitu!
 
HOJA Ile ni ya kitaifa,

Tuzingatue.

Imagine Hadi mkulima huko vijijini Hana mbegu asili.

Serikali ifungue macho yote yawe wazi maana hawatutakii mema wenzetu,

Ni vita ya kiuchumi inatengenezwa.
Mkuu hili jambo linasikitisha sana. Nilienda kijijini kwetu nikakuta kila mbegu wananunua. Ukipanda, hizo utakazovuna hazitafaa, hivyo kila msimu lazima wanunue mbegu ambapo hapo awali walikuwa na namna ya kuchagua mbegu bora kwa msimu unaofuata.

Mbegu za asili kijijini kwetu tulivuna hata bila mbolea. Sasa hivi haiwezekani.

Utashangaa mkulima ananunua mbegu za zaidi ya laki moja kwa ekari! Bado hajaweka mbolea ya kupandia na kukuzia, bado hajapalilia, kuvuna, kuhifadhi kwa dawa!

Nimeshangazwa na serikali na wizara husika kutokuliona hili jambo.
 
Mbegu za mazao ya chakula na biadhara ni salama kwa walaji na hakuna madhara yoyote ya kiafya.
Kwanini nchi kama Marekani sasa hivi, karibia Products zote zinakuwa marketed under the guise of Non GMO? Kwanini?

Sasa hivi mashambani wanamwagilia mashamba yao na mavi ya binadamu, na wanafanya hivyo kwasababu mimea itokanayo na GMO inaharibu rutuba ya udongo.

Acha kutetea upuuzi

Ushaona magonjwa yanayotamalaki huko Marekani na Ulaya? Wanakufa!😅
 
Wakizuia mbegu mtakula mihogo, ndizi, viazi na matunda pori kama Wahadzabe. Hii population inavyokua kwa kasi kila siku unataka mbegu za mapera, mapapai na mahindi za miaka mitano si mtakufa njaa nyie masikini.

Waafrika acheni upumbavu wa kufikiria dunia yote inafanya mambo kuwazunguka nyie na kwamba nyie ndio centre ya universe.
Kuna namna ya kuboresha mbegu za asili na kubaki na uasili wake. Na kwa nini mbegu za asili zisiwepo, kwa nini uzipoteze?
 
Kama Taifa,
tutaendelea kutumia mbegu bora za muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kulingana na misimu ya hali ya hewa ya eneo husika humu nchini.

Mbegu za mazao ya chakula na biadhara ni salama kwa walaji na hakuna madhara yoyote ya kiafya.

Hakuna haja ya kubababika wala kuweweseka na fear of unknown.

Uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako gentleman 🐒

Ni kweli GMO products hazina madhara? Ya muda mrefu, ya polepole, ya muda mfupi?
 
Unfortunately ndio analead sasa, upende, utake usitake nenda kasugue goti coz bado yupo sana tu! A business leader analead wanasiasa waongo sasa kwa ni biashara kila kitu!
And how does that make you feel😜

Ana lead wajinga na wapuuzi tu huko.

Wiki ya tatu watu wameshaanza kuregret kura zao. And ofcoz any bigot is going to say I have a leader.

Kumbuka, wanasiasa waongo ni hao wa Marekani. "Very bad people" bana acha kupindisha

Enywaey jikite kwenye hoja.
 
Kuna namna ya kuboresha mbegu za asili na kubaki na uasili wake. Na kwa nini mbegu za asili zisiwepo, kwa nini uzipoteze?
Kwa nini wewe leo hutumii punda au miguu kusafiri kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma?
Kwa nini leo wewe hutumii maji ya mtoni, ziwani au kwenye madimbwi ambayo hayajawekwa dawa za kusafisha maji?
 
HOJA Ile ni ya kitaifa,

Tuzingatue.

Imagine Hadi mkulima huko vijijini Hana mbegu asili.

Serikali ifungue macho yote yawe wazi maana hawatutakii mema wenzetu,

Ni vita ya kiuchumi inatengenezwa.
Hilo la kufungua macho ndiyo halipo
 
Kwanini nchi kama Marekani sasa hivi, karibia Products zote zinakuwa marketed under the guise of Non GMO? Kwanini?

Sasa hivi mashambani wanamwagilia mashamba yao na mavi ya binadamu, na wanafanya hivyo kwasababu mimea itokanayo na GMO inaharibu rutuba ya udongo.

Acha kutetea upuuzi

Ushaona magonjwa yanayotamalaki huko Marekani na Ulaya? Wanakufa!😅
kila nafasi itaonja umauti kwa muda muafaka kadiri Allah atakavyoona inafaa.

Narejea kusisitiza kwamba,
kama Taifa, tutaendelea kuzingatia hali halisi hususani ya misimu ya mvua kupanda na kuvuna mbegu mahususi,

ni muhimu sana wananchi hususani wakulima, kupuuza uptoshaji unaosambazwa na wasio na nia njema na uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara bila ya kua na sababu ya msingi 🐒
 
Wakizuia mbegu mtakula mihogo, ndizi, viazi na matunda pori kama Wahadzabe. Hii population inavyokua kwa kasi kila siku unataka mbegu za mapera, mapapai na mahindi za miaka mitano si mtakufa njaa nyie masikini.

Waafrika acheni upumbavu wa kufikiria dunia yote inafanya mambo kuwazunguka nyie na kwamba nyie ndio centre ya universe.

Hawa wamatumbi wanachekesha sana, mkuu.

Screenshot_20250211_011621_WhatsApp.jpg
 
And how does that make you feel😜

Ana lead wajinga na wapuuzi tu huko.

Wiki ya tatu watu wameshaanza kuregret kura zao. And ofcoz any bigot is going to say I have a leader.

Kumbuka, wanasiasa waongo ni hao wa Marekani. "Very bad people" bana acha kupindisha

Enywaey jikite kwenye hoja.
So my feeling ndio hoja ya kujikita? Anyway I rest my case, nishajua naongea na caliber gani! Tchao
 
Ni kweli GMO products hazina madhara? Ya muda mrefu, ya polepole, ya muda mfupi?
Ni kweli Gari, ndege na treni havina madhara?
Ni kweli simu za smartphones hazina madhara?
Ni kweli soda na bia hazina madhara?
 
Back
Top Bottom