Umewahi kula apple la kisasa la South Africa na apple la kienyeji la Njombe au Lushoto ukaona tofauti yake?Mbegu za asili zina ladha nzuri, ugali ni mzuri, matunda ni mazuri, mchele ni mtamu una harufu na ladha nzuri, mihogo na viazi ni mzuri. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mbengu za asili na za kisasa
Kama Taifa,Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna, ukitaka kupanda msimu ujao shart ukanunue.
Sasa Mpango huu wa kuzipoteza mbegu asili ni rasmi upo kutuletea njaa huko mbeleni, ni kutufanya tuwe tegemezi ikitokea wametunyima misaada ya mbegu huko mbeleni Kwa sababu wazijuazo wao.
Sasa ni muda wa kuamka na kuweka ulinzi kwenye benki zetu za mbegu asili maana njaa Inakuja ulimwenguni kote na ni ya kutengeneza Ili kuhakikisha Nchi zetu zinapiga magoti na kutawaliwa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Karibuni ๐
Hebu rudisha hii kadamnasi kwenye mada. Uzi unaharibika kwa sababu ya Wapuuzi.Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna, ukitaka kupanda msimu ujao shart ukanunue.
Sasa Mpango huu wa kuzipoteza mbegu asili ni rasmi upo kutuletea njaa huko mbeleni, ni kutufanya tuwe tegemezi ikitokea wametunyima misaada ya mbegu huko mbeleni Kwa sababu wazijuazo wao.
Sasa ni muda wa kuamka na kuweka ulinzi kwenye benki zetu za mbegu asili maana njaa Inakuja ulimwenguni kote na ni ya kutengeneza Ili kuhakikisha Nchi zetu zinapiga magoti na kutawaliwa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Karibuni ๐
Wewe ukila chungwa lenye mambegu mengi ya kutosha kupanda ekari moja kila muda uwe unatema tema mbegu unapokula ndio unasikia raha??Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna, ukitaka kupanda msimu ujao shart ukanunue.
Sasa Mpango huu wa kuzipoteza mbegu asili ni rasmi upo kutuletea njaa huko mbeleni, ni kutufanya tuwe tegemezi ikitokea wametunyima misaada ya mbegu huko mbeleni Kwa sababu wazijuazo wao.
Sasa ni muda wa kuamka na kuweka ulinzi kwenye benki zetu za mbegu asili maana njaa Inakuja ulimwenguni kote na ni ya kutengeneza Ili kuhakikisha Nchi zetu zinapiga magoti na kutawaliwa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ
Karibuni ๐
The world is changing dada, amka kwa shemeji yako, hamna wa kuzuia mafuriko haya na bahati mbaya sana Trump is leading the world in a real senseHopeless rhetoric.
unajitia ukuu ambao huna
lile south africa ni laini, ila halina makovumakovu kama haya ya njombe na lushoto. Sasa shangaa kuna embe kubwa ina ladha kama apple, mti wake unauzwa elfu kumi, wanasema ni muembe wa kisasaUmewahi kula apple la kisasa la South Africa na apple la kienyeji la Njombe au Lushoto ukaona tofauti yake?
Ludicrious.The world is changing dada, amka kwa shemeji yako, hamna wa kuzuia mafuriko haya na bahati mbaya sana Trump is leading the world in a real sense
Unfortunately ndio analead sasa, upende, utake usitake nenda kasugue goti coz bado yupo sana tu! A business leader analead wanasiasa waongo sasa ni biashara kila kitu!Ludicrious.
Trump or Fascists and their fanatics
#bigot
Mkuu hili jambo linasikitisha sana. Nilienda kijijini kwetu nikakuta kila mbegu wananunua. Ukipanda, hizo utakazovuna hazitafaa, hivyo kila msimu lazima wanunue mbegu ambapo hapo awali walikuwa na namna ya kuchagua mbegu bora kwa msimu unaofuata.HOJA Ile ni ya kitaifa,
Tuzingatue.
Imagine Hadi mkulima huko vijijini Hana mbegu asili.
Serikali ifungue macho yote yawe wazi maana hawatutakii mema wenzetu,
Ni vita ya kiuchumi inatengenezwa.
Kwanini nchi kama Marekani sasa hivi, karibia Products zote zinakuwa marketed under the guise of Non GMO? Kwanini?Mbegu za mazao ya chakula na biadhara ni salama kwa walaji na hakuna madhara yoyote ya kiafya.
Kuna namna ya kuboresha mbegu za asili na kubaki na uasili wake. Na kwa nini mbegu za asili zisiwepo, kwa nini uzipoteze?Wakizuia mbegu mtakula mihogo, ndizi, viazi na matunda pori kama Wahadzabe. Hii population inavyokua kwa kasi kila siku unataka mbegu za mapera, mapapai na mahindi za miaka mitano si mtakufa njaa nyie masikini.
Waafrika acheni upumbavu wa kufikiria dunia yote inafanya mambo kuwazunguka nyie na kwamba nyie ndio centre ya universe.
Kama Taifa,
tutaendelea kutumia mbegu bora za muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kulingana na misimu ya hali ya hewa ya eneo husika humu nchini.
Mbegu za mazao ya chakula na biadhara ni salama kwa walaji na hakuna madhara yoyote ya kiafya.
Hakuna haja ya kubababika wala kuweweseka na fear of unknown.
Uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako gentleman ๐
And how does that make you feel๐Unfortunately ndio analead sasa, upende, utake usitake nenda kasugue goti coz bado yupo sana tu! A business leader analead wanasiasa waongo sasa kwa ni biashara kila kitu!
Kwa nini wewe leo hutumii punda au miguu kusafiri kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma?Kuna namna ya kuboresha mbegu za asili na kubaki na uasili wake. Na kwa nini mbegu za asili zisiwepo, kwa nini uzipoteze?
Hilo la kufungua macho ndiyo halipoHOJA Ile ni ya kitaifa,
Tuzingatue.
Imagine Hadi mkulima huko vijijini Hana mbegu asili.
Serikali ifungue macho yote yawe wazi maana hawatutakii mema wenzetu,
Ni vita ya kiuchumi inatengenezwa.
kila nafasi itaonja umauti kwa muda muafaka kadiri Allah atakavyoona inafaa.Kwanini nchi kama Marekani sasa hivi, karibia Products zote zinakuwa marketed under the guise of Non GMO? Kwanini?
Sasa hivi mashambani wanamwagilia mashamba yao na mavi ya binadamu, na wanafanya hivyo kwasababu mimea itokanayo na GMO inaharibu rutuba ya udongo.
Acha kutetea upuuzi
Ushaona magonjwa yanayotamalaki huko Marekani na Ulaya? Wanakufa!๐
Wakizuia mbegu mtakula mihogo, ndizi, viazi na matunda pori kama Wahadzabe. Hii population inavyokua kwa kasi kila siku unataka mbegu za mapera, mapapai na mahindi za miaka mitano si mtakufa njaa nyie masikini.
Waafrika acheni upumbavu wa kufikiria dunia yote inafanya mambo kuwazunguka nyie na kwamba nyie ndio centre ya universe.
So my feeling ndio hoja ya kujikita? Anyway I rest my case, nishajua naongea na caliber gani! TchaoAnd how does that make you feel๐
Ana lead wajinga na wapuuzi tu huko.
Wiki ya tatu watu wameshaanza kuregret kura zao. And ofcoz any bigot is going to say I have a leader.
Kumbuka, wanasiasa waongo ni hao wa Marekani. "Very bad people" bana acha kupindisha
Enywaey jikite kwenye hoja.
Ni kweli Gari, ndege na treni havina madhara?Ni kweli GMO products hazina madhara? Ya muda mrefu, ya polepole, ya muda mfupi?