mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.
Mama amesema Ameibuni agenda hii lakini kwa wanaojua , hii ni Ajenda ya Mheshimiwa January makamba kijana mbunifu zaidi, ametoa ajenda nzuri na kumpa Samia lakini mwisho wa siku ameonekana hafai na Msaliti