mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
ChoiceVariable ya kweli haya?!Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.
Mama amesema Ameibuni agenda hii lakini kwa wanaojua , hii ni Ajenda ya Mheshimiwa January makamba kijana mbunifu zaidi, ametoa ajenda nzuri na kumpa Samia lakini mwisho wa siku ameonekana hafai na Msaliti
100%ChoiceVariable ya kweli haya?!
Aliteuliwa ili awe mbunifu.Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.
Mama amesema Ameibuni agenda hii lakini kwa wanaojua , hii ni Ajenda ya Mheshimiwa January makamba kijana mbunifu zaidi, ametoa ajenda nzuri na kumpa Samia lakini mwisho wa siku ameonekana hafai na Msaliti
January ubunifu wake ni ufisadi alipotaka kukwamisha mradi wa bwawa la nyerere kwa kusema hakuna mashine ya kuinulia vitu vizito na alikuwa anafanya siasa!Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.
Mama amesema Ameibuni agenda hii lakini kwa wanaojua , hii ni Ajenda ya Mheshimiwa January makamba kijana mbunifu zaidi, ametoa ajenda nzuri na kumpa Samia lakini mwisho wa siku ameonekana hafai na Msaliti
HATA SGR, BWAWA LA NYERERE, DARAJA LA BUSISI VILIBUNIWA KITAMBO LAKINI MWANAUME MAGUFULI AKAJINADI AKAFANYA, NAFIKIRI MAMA SAMIA ASITAJWE KWENYE HAYA ITAJWE SERIKALIJanuary ubunifu wake ni ufisadi alipotaka kukwamisha mradi wa bwawa la nyerere kwa kusema hakuna mashine ya kuinulia vitu vizito na alikuwa anafanya siasa!
Jamaa yako habebeki angebuni soko la makabichi huko mtae!HATA SGR, BWAWA LA NYERERE, DARAJA LA BUSISI VILIBUNIWA KITAMBO LAKINI MWANAUME MAGUFULI AKAJINADI AKAFANYA, NAFIKIRI MAMA SAMIA ASITAJWE KWENYE HAYA ITAJWE SERIKALI
Mngeruhusu Kura kwenye kamati kuu muone kama habebekiJamaa yako habebeki angebuni soko la makabichi huko mtae!
kura zitaruhusiwa na huyo mvuta tambuu na midomo yake myeusi hatotoboa. Urais anatoa mungu sio waganga wa kienyeji.Mngeruhusu Kura kwenye kamati kuu muone kama habebeki
Sasa January ndo uje kuandika huku?? iyo agenda ni ya mama maana ulkua umeajiriwa na ulilipwa mshahara Kwa iyo chochote ulichofanya ni mali ya kiongoz wa serkal ambaye ni mama!!Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.
Mama amesema Ameibuni agenda hii lakini kwa wanaojua , hii ni Ajenda ya Mheshimiwa January makamba kijana mbunifu zaidi, ametoa ajenda nzuri na kumpa Samia lakini mwisho wa siku ameonekana hafai na Msaliti
Na wewe! Aliyemteua ni nani? Kila mtu unafanya kazi kwa niaba ya bosiNimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.
Mama amesema Ameibuni agenda hii lakini kwa wanaojua , hii ni Ajenda ya Mheshimiwa January makamba kijana mbunifu zaidi, ametoa ajenda nzuri na kumpa Samia lakini mwisho wa siku ameonekana hafai na Msaliti
sasa Samia asiseme wazo kabuni yeyeNa wewe! Aliyemteua ni nani? Kila mtu unafanya kazi kwa niaba ya bosi
Wewe unaonekana bado una akili za kitoto,Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na katibu mkuu aliekuwepo wakati huo ambaye bado yupo hadi leo.