Kila mtu anafanya kazi kwa niaba yake hapa TZ. Yupo sahihi! Kumbuka Mfanyakazi wa serikali hana copyright. Akilipwa mshahara, kila kitu ni Mali ya mwajiri
Mwenye Agenda ni Rostam Aziz auze gesi .. akamtumia Makamba kuwatisha watanzania kuwa kila mwaka kuna vifo 300000 vya kinamama vinavyotokana na moshi wa mkaa na kuni...
mkuu nami najiulizaga sana imekuaje idadi ya hvo vifo vinavotokana na mosh vwe vya kutisha hvo? tangu tumepata uhuru kuni na mkaa ndo
nshat ya watz cjapata kuon wat wakpata shida wanazoziona wao!