Mzee yuko vizuri upstairs... anafaa atumike.Kwa umri mkubwa hatoweza kusoma na kuchangia mambo kwamitazamo ya kisasa na teknolojia mpya!!
Mtu huoni vizuri utasoma mikataba uielewe kweli? Weka wabunge wasomi waleo sio wa BC
Number don't lie miaka 70 anabidi awe mshauri wa mambo ya nchi na sio Ku force ubunge ambao anajua fika kuwa hauwezi .Mzee yuko vizuri upstairs... anafaa atumike.
Amesha choka, ubunge wa siha alishika kwa miaka 15, waziri tamisem, mkuu wa mikoa tofauti!Kweli Ila pia bungeni wanabidi kwenda watu wenye uwezo mzuri wa kufikiri sasa huyo uwezo huo anao?
Kwa moyo mkunjufu wana hai mrudisheni huyu mzee.Wakuu,
Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni
Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
Kama mwana wa Masatu bado yupo kwenye usukani, kuna ajabu gani kijana mdogo kama huyu kuwa mbungeTamaa zitamponza miaka 70 anategemea kwenda bungeni kufanya nini ?.
Wapo watu miaka 40 akizungumza unabaki unamshangaa unajiuliza huyu mtu uwezo wake wa kujenga hoja ukoje...na pia wapo wazee anaweza jenga hoja ukasimama kumpigia makofi...wacha tuwaachie wajumbeUwezo wa kufikiri na kujenga hoja wa MTU wa miaka 70 unahisi ni sawa na MTU wa miaka 40 ?
Mtazame kikwete anachofanya sasa
Ana jipya lipi?Wakuu,
Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni
Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
Ccm wanamuendekeza kufanya vituko sababu ya udhaifu wa Samia!’Uwezo wa kufikiri na kujenga hoja wa MTU wa miaka 70 unahisi ni sawa na MTU wa miaka 40 ?
Mtazame kikwete anachofanya sasa
KULE KUNA TAASISI IMARA KULE HUWEZII KUAMKA NA KUSEMA MTU ATA GWAJIMINIZE CHAMA AU MAGWAJIMA TUYAACHE NJE.Kwani Trump ana miaka mingapi?
Nauliza hivyo kwasababu bilashaka wamarekani wanajua upungufu wa IQ kwa mtu mwenye miaka 70 inakuaje.
Ukweli Kikwete kwishnei babu gUwezo wa kufikiri na kujenga hoja wa MTU wa miaka 70 unahisi ni sawa na MTU wa miaka 40 ?
Mtazame kikwete anachofanya sasa
Umefanya utafiti gani kuhusu hiyo comment yako?Oohh, waliosoma urusi wote walevi sana