Kilimbatzx
Senior Member
- Jul 31, 2025
- 188
- 222
Anataka kwends kuwatafuna Viti maalumuTamaa zitamponza miaka 70 anategemea kwenda bungeni kufanya nini ?.
Anataka kwends kuwatafuna Viti maalumuTamaa zitamponza miaka 70 anategemea kwenda bungeni kufanya nini ?.
Mwacheni akamalizie uzee wake kwenye kiyoyozi. Kijijini pagumuTamaa zitamponza miaka 70 anategemea kwenda bungeni kufanya nini ?.
Raisi Putin 72 years.Kwani hawezi kujiajiri .
Kwakuwa uwezo wa kufikiri wa MTU wa miaka 70 ni mdogo anabidi kustep down . kubaki kuwa mshahuri
Wote watoke miaka yote hakuna Jambo Jema lakutupa muamko wa kusema ndio kwa hao wagombeaMakamu mwenyekiti wa chama chake ni eighty something, acha aende tu,hawapasui mawe kule.
HakikaHukumsikia akichukua form alisema " bungeni hawaendi kupigana masumbwi!" 😎
Trump ni Rais wa Marekani na ana miaka 79.Number don't lie miaka 70 anabidi awe mshauri wa mambo ya nchi na sio Ku force ubunge ambao anajua fika kuwa hauwezi .
Anatafuta chimbo la kwenda kuzeekea.