mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Kwani RC wa Dodoma hajatimiza miaka ya kusitafu?Alifanya nini zaidi ya kiki na masihara. Kwanza alistaafu kwahivyo mwacheni apumzike nchi inavijana wengi tuu wasomi na wawajibikaji waliokosa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani RC wa Dodoma hajatimiza miaka ya kusitafu?Alifanya nini zaidi ya kiki na masihara. Kwanza alistaafu kwahivyo mwacheni apumzike nchi inavijana wengi tuu wasomi na wawajibikaji waliokosa kazi
Tuacheni chuki jamani,Mwanri huwezi kulinganisha utendaji wake na vijana wengi tu waliopo kwenye Cabinet.Aggrey Mwanri hana lolote zaidi ya UROPOKAJI na Komedi za kwenye TV. Kiukweli SIYO MTENFAJI ndiyo maana silaha yake kubwa ya kuonwa na mabosi wake ni KELELE tu.
Nafasi za uteuzi zina kustaafu?
Alistaafu ukuu wa mkoa.
Mkuchika ana miaka mingap?Miaka zadi ya 65 wa nini?
Kafanya ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kaleta nini?
Akiwa Tamisemi na sagi wake walikuwa wanauza ukuu wa idara kwa sh ngapi?
We Umesahau kuwa Magu alisema haraka kufanya kazi na wazee ambao badala ya wao kumuamkia yeye Rais ndo awamkie?Wewe ni mpumbavu.
I agree, the fellow is a first class intellect, clean. Kwenye hesabu zangu (just me, a nobody) huyu angekuwa Waziri Mkuu kabla hata ya Majaliwa (wote walikuwa TAMISEMI). CHADEMA wakawa wamemfitinisha na wapiga kura kwa misingi ya kikabila alipokataa kujiunga na CHADEMA, wakapata viti vyote Mkoa wa Kilimanjaro, you remember. Waliamini Lowassa atashinda, hadi ukatumwa ujumbe wa Askofu Munga kumwita Zero ili waimarishe safu ya uongozi neema yaja. The rest is history.
Kila mtanzania anamkubali Agrey Mwanri kuwa ni jembe na mchapa kazi. Anajua kuongoza, anajua kuwajibika.
Lakini kwanini kiongozi kama huyu hakupata uteuzi ili aweke mambo sawa kwa manufaa ya umma? Je, kuna tatizo kwa washauri wa rais JPM?
Mbona tuna ona watu ambao uwezo wao wa kuongoza ni mdogo na wanaingia kwenye Cabinet?
Hao wanaomshauri Rais wanakula pesa za bure za walipa kodi? Kwanini mtu kama Mwanri awe benchi, alafu watafuta kick za kwenye Tv ndio wanakula uteuzi?
Idugude acha matusi twende hoja kwa hoja nionavyo mwanri Ni comedian kama joti,braza k and the like.Wewe ni mpumbavu.
Kaifanyia makubwa sana Tabora hasa suala la uwajibikaji na utunzaji wa mazingira. Kwa wanaoijua Tabora, alifanikiwa kuibadilisha sana. Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeniAlifanya nini zaidi ya kiki na masihara. Kwanza alistaafu kwahivyo mwacheni apumzike nchi inavijana wengi tuu wasomi na wawajibikaji waliokosa kazi