Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #41
Kama wanauwezo wa kuongoza tusingekuwa tunasikia wananchi wanalia kila siku juu ya kero zao. Lakini Mwanri alikuwa Tabora na amepanyoosha.Mleta mada umeharibu sana baada ya kuwaponda waliopo kwenye cabinet kwa sasa (hasa vijana) kuwa wana uwezo mdogo.
Uongozi ni uzoefu. Kubali kujisahihisha na kusahihishwa. Hakuna aliyezaliwa kiongozi.
Huu ni muda wa vijana kuaminiwa sio sura zilezile lila siku. Vijana wameshajifunza kwa wazee ni muda sasa wa kuaminiwa na kupewa nafasi. Wanapokosea wakubali kusahihishwa na kujisahihisha.