Aggrey Mwanri: Jembe lililoachwa kimakosa kwenye Baraza la Mawaziri

Kama wanauwezo wa kuongoza tusingekuwa tunasikia wananchi wanalia kila siku juu ya kero zao. Lakini Mwanri alikuwa Tabora na amepanyoosha.
 
Kama wanauwezo wa kuongoza tusingekuwa tunasikia wananchi wanalia kila siku juu ya kero zao. Lakini Mwanri alikuwa Tabora na amepanyoosha.
Kama ameshapanyoosha inatosha. Watanzania tupo wengi wenye uwezo wa kuongoza sio kila siku tuwapigie promo wale wale.
 
"Kila mtanzania " nimeachia apo kusoma
 
Amekulipa bei gani?
 
Tuacheni chuki jamani,Mwanri huwezi kulinganisha utendaji wake na vijana wengi tu waliopo kwenye Cabinet.

Huu ndio ukweli!
Vijamaa vya juzi ambavyo havimjui huyu mzee naona vinajiandikia tu!
 
Mleta mada umetumwa kuja kumpigia debe ili akunbukwe enhee sawa mzee baba atamkumbuka tu mwambie asiwe na maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…