Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

MKEKA MPYA WA GOOGLE PIXEL
3a 64gb = 270,000
4 64gb = 300,000
4a 128gb = 290,000
4 xl 64gb = 370,000
4 xl 128gb = 400,000
5 128gb = 370,000
5a 128gb = 400,000

Whatsapp: +971582640133 (Dubai)
Ofisi Dar : 0654156671
 
Huduma bado zinaendela
Tunajua Dollar imepanda
Vivyo hivyo Dirham ya mwarabu pia imepanda
ILA BEI ZETU ZITAENDELEA KUBAKI VILE VILE
 
Huduma bado zinaendela
Tunajua Dollar imepanda
Vivyo hivyo Dirham ya mwarabu pia imepanda
ILA BEI ZETU ZITAENDELEA KUBAKI VILE VILE
 
Huyo panda sourcing yupo kam ckosei sinza au kinondoni
 
Gtx 1040/1050/1060/1650 au n ipi mkali?
 
Nilitaka kujilipua Ila nimetafuta shuhuda nikakutana na shuhuda ya kuwa na account 5 JF. Hakika ni unyama sana
MINYAMA MPAKA INAMWAGIKAA
Kama una mashaka usijaribu kuagiza

Wateja wenye mashaka akishatuma hrla atakupigia kila baada ya lisaa simu umepata embu nipigie picha niione...vipi umeisafirisha..

hiv sasa imefika wapi..

anataka ajue hadi anga ambalo simu ipo..
kama ipo anga la somalia ndo inakuja au ishaingia anga la kenyaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wajinga ni wengi ila mtoa mada upo safi wakituma we wapige tu na sasahiv serikal haiwez kukwambia chochote
daahh boss hali ngumu sio vyema kurudishana nyumaa

Tutafute vyanzo halali vya mapato yetu 😁😁😁😁
 
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
SAMSUNG S10 5G
RAM 8GB
STORAGE 256
BEI 450,000
Your browser is not able to display this video.

KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA KIGANJANI MWAKO
whatsapp +971582640133
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
 
Naomba tuwe na uvumilivu. Jambo jema halitaki haraka.
Asanteni
 
Gari mtumba(used), nguo mtumba(used), simu mtumba(used).
Watanzania muombeni Mungu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…