MREJESHO! MREJESHO!! MREJESHO!!!.
Habari
Mm n miongoni mwa wateja was kwanza kwanza kufanya bznes na huyu bwana.
Kunako tarehe 11-8-2023 niliagizia simu kutoka kwake na malipo nilifanyia Manzese Argentina na kufika mpk kwao.
Hivyo nipo hapa kuthibitisha kua nimepokea mzigo wangu wa simu tarehe 30_8_2023. Pale ofisini kwao nilipo fanyia malipo.
Simu nimeipenda na Iko poa na haina changamoto yyte mpk Sasa.
Nina imani kua mungu akipenda tutafanya bznes zaidi n zaidi. Ila naomba uchukua ushauri kama sehemu ya changamoto TU.
Ushauri
Jitahidini kua makini na order za wateja wenu na kuzingatia chaguo lake kwa wakati sahihi.
Pia kuhusu siku za kupokea mzigo muweke 7 kwa 10 days. Ili ikiwa ndani ya cku husika au kuzidi kidogo sio mbaya.
Naona mkifika mbali na kuwezesha watu kutumia vitu vzr kwa watanganyika. Na watoa wasi wasi mwenye kuangiza anaweza kuagiza.
Vijana tuweze kushikana mikono kwenye maendeleo kama haya.
Asanteni.