Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Ninaposema samsung zenye dot zinakuwa ni hizi dot ndogo sana

Tena unakuta zipo pembeni
Hii ni s21 plus
Ram 8gb
Storage 128gb
550,000 Tu

S10 = 300,000
S10 PLUS = 320,000
S20 = 380,000
S20 PLUS = 440,000
S20 ULTRA = 480,000
S21 ULTRA = 680,000
 
Mkuu, macbook air ya 2013, 2014 au 2015 hivi bei gani? Nimechagua miaka hiyo ili bei iwe kitonga. Isiwe na changamoto ya kiufundi.
 
Mkuu kwema naomba nitafutie huawei g2 smart watch used kiasi gani na mpya kiasi gani
 
Mkali naulizia lenovo thinkstation p520 ram kuanzia 16,storage 500-1tb hdd/ssd Bei gani?
 
MREJESHO! MREJESHO!! MREJESHO!!!.
Habari
Mm n miongoni mwa wateja was kwanza kwanza kufanya bznes na huyu bwana.
Kunako tarehe 11-8-2023 niliagizia simu kutoka kwake na malipo nilifanyia Manzese Argentina na kufika mpk kwao.
Hivyo nipo hapa kuthibitisha kua nimepokea mzigo wangu wa simu tarehe 30_8_2023. Pale ofisini kwao nilipo fanyia malipo.
Simu nimeipenda na Iko poa na haina changamoto yyte mpk Sasa.
Nina imani kua mungu akipenda tutafanya bznes zaidi n zaidi. Ila naomba uchukua ushauri kama sehemu ya changamoto TU.
Ushauri
Jitahidini kua makini na order za wateja wenu na kuzingatia chaguo lake kwa wakati sahihi.
Pia kuhusu siku za kupokea mzigo muweke 7 kwa 10 days. Ili ikiwa ndani ya cku husika au kuzidi kidogo sio mbaya.
Naona mkifika mbali na kuwezesha watu kutumia vitu vzr kwa watanganyika. Na watoa wasi wasi mwenye kuangiza anaweza kuagiza.
Vijana tuweze kushikana mikono kwenye maendeleo kama haya.
Asanteni.
Hongera sana Mkuu, sasa nadhani wale waliokuwa wanamletea uchawi kijana mwenzao mpambanaji wataanza kuelewa kidogokidogo kwamba rohombaya haileti faida.
 
ZIMEBAKI 5 TU ZA OFFA
RAM 4GB STORAGE 64GB
SAMSUNG S8 KWA 220,000 TU

whatsapp +971582640133

 
Back
Top Bottom