Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Mkuu, sasa nadhani wale waliokuwa wanamletea uchawi kijana mwenzao mpambanaji wataanza kuelewa kidogokidogo kwamba rohombaya haileti faida.MREJESHO! MREJESHO!! MREJESHO!!!.
Habari
Mm n miongoni mwa wateja was kwanza kwanza kufanya bznes na huyu bwana.
Kunako tarehe 11-8-2023 niliagizia simu kutoka kwake na malipo nilifanyia Manzese Argentina na kufika mpk kwao.
Hivyo nipo hapa kuthibitisha kua nimepokea mzigo wangu wa simu tarehe 30_8_2023. Pale ofisini kwao nilipo fanyia malipo.
Simu nimeipenda na Iko poa na haina changamoto yyte mpk Sasa.
Nina imani kua mungu akipenda tutafanya bznes zaidi n zaidi. Ila naomba uchukua ushauri kama sehemu ya changamoto TU.
Ushauri
Jitahidini kua makini na order za wateja wenu na kuzingatia chaguo lake kwa wakati sahihi.
Pia kuhusu siku za kupokea mzigo muweke 7 kwa 10 days. Ili ikiwa ndani ya cku husika au kuzidi kidogo sio mbaya.
Naona mkifika mbali na kuwezesha watu kutumia vitu vzr kwa watanganyika. Na watoa wasi wasi mwenye kuangiza anaweza kuagiza.
Vijana tuweze kushikana mikono kwenye maendeleo kama haya.
Asanteni.
@MASTERCHIEF 255 naomba jibuMkuu kwema naomba nitafutie huawei g2 smart watch used kiasi gani na mpya kiasi gani
Mkuu naomba jibuMkuu, macbook air ya 2013, 2014 au 2015 hivi bei gani? Nimechagua miaka hiyo ili bei iwe kitonga. Isiwe na changamoto ya kiufundi.
🤣🤣Kumbe kuna iPhone had ya laki na sitin na hamsemi[emoji55]
Mkuu hivi price iyo ni kwa Huawei gt2 ama Huawei gt 2 pro?250,000 mpya
used hamna....