Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S21 GB 264 line mbili je?Ukihitaji s22 ultra line 2 na 512gb utapata kwa 1,200,000
Hiyo ps5 used inakuja na games? Nataka nimchukulie kijanaAGIZA PLAYSTATION KUTOKA DUBAI
PS3 (used) na pad 2 = 250,000
PS4 (used) na pad 2 = 480,000
PS5 (used) na Controller 2 = 1,050,000
PS5 (mpya) na Controller 2 = 1,400,000
Hakuna 264..256 Gb Mkuu..(Gb..4:8:16:32:64:128:256:512: 1 T)S21 GB 264 line mbili je?
mkuu nahitaji unihertz titan , bei gani hapo dubai?hapana ni ps5 machine tu yenyewe
0677 818283
Bei nyingi ni sawa na za machimbo ya kariakoo..mfano Google pixel 3a 220,000-240,000 unapata na 4a ni 320,000..nilitegemea kwa huko Dubai ingekuwa chini zaidi. Lakini pia ata Oppo A57 bei kariakoo ni 100,000 pia. Hizo nyingine Sina uzoefu nazo sana ila kwa hizi chache sioni unafuu uliopo.AGIZA SIMU MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
AGIZA SIMU MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
IPHONE
iphone 6-64gb = 130,000
iphone 6 plus 64gb = 170,000
iphone 7 64gb = 200,000
iphone 7 128gb = 220,000
iphone 7 PLUS 128gb = 250,000
iphone 8 64gb = 270,000
iphone 8 256gb = 300,000
iphone 8 PLUS 64gb = 330,000
iphone 8 PLUS 256gb = 380,000
iphone X 64gb = 380,000
iphone X 256gb = 450,000
iphone XS 256gb = 570,000
iphone XR 64gb = 490,000
iphone XR 128gb = 520,000
iphone XS MAX 256gb =680,000
iphone 11 64gb = 630,000
iphone 11 128gb = 690,000
iphone 11 PRO 256gb = 750,000
iphone 11 PRO MAX 256gb = 900,000
iphone 12 128gb = 800,000
iphone 12 pro 128gb = 950,000
iphone 12 PRO 256gb = 1,150,000
iphone 12 PRO MAX 256gb = 1,200,000
iphone 13 128gb = 1,100,000
iphone 13 pro 128gb = 1,200,000
iphone 13 pro 256gb = 1,350,000
iphone 13 pro MAX 256GB = 1,500,000
iphone 13 pro MAX 512GB = 1,600,000
SAMSUNG
A32 ram 4/128gb = 270,000
S8 ram 4/64gb = 220,000
S8 PLUS ram 4/64gb = 250,000
S9 ram 4/64gb = 260,000
S9 PLUS ram 6/64gb = 280,000
S10E ram 6/128gb = 250,000
S10 ram 8/128gb = 360,000
S10 PLUS ram 8/128gb = 390,000
S10 5G ram 8/256gb = 400,000
S20 ram 12/128gb = 370,000
S20 PLUS ram 12/128gb = 400,000
S20 ULTRA ram 12/128gb = 490,000
S21 ram 8/128gb = 590,000
S21 PLUS ram 8/128gb = 650,000
S21 ULTRA ram 12/128gb = 750,000
S21 ULTRA ram 12/256gb = 800,000
S22 256gb = 1,000,000
S22 PLUS 256gb = 1,050,000
S22 ultra 128gb = 1,1500,000
S22 ULTRA 256gb = 1,200,000
SAMSUNG NOTE
NOTE 8 ram 6/64gb = 270,000
NOTE 9 ram 6/128gb = 330,000
NOTE 10 256gb = 420,000
NOTE 10 PLUS 12/256gb = 480,000
NOTE 20 ram 12/128gb = 500,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/128gb = 550,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/256gb = 600,000
GOOGLE PIXEL
Pixel 4 ya 64gb = 250,000
Pixel 4xl ya 64gb = 300,000
Pixel 4a 5g ya 128gb = 320,000
Pixel 5 ya 128gb = 350,000
Pixel 5a ya 128gb = 440,000
Pixel 6 ya 128gb = 500,000
Pixel 6 ya 256gb = 580,000
Pixel 6 pro ya 128gb = 700,000
Pixel 7A ya 128gb = 800,000
Pixel 7pro ya 128gb = 900,000
VIVO
VIVO Y17 ram 6/128gb = 180,000
VIVO Y19 ram 6/256gb = 220,000
VIVO Y20S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y21S ram 6/128gb = 250,000
VIVO Y67 ram 4/128gb = 100,000
VIVO Y85 ram 4/128gb = 120,000
VIVO Y93 ram 6/128gb = 120,000
HUWAEI
HUAWEI Y8s ram 4/128gb = 200,000
HUAWEI Y7 PRO ram 4/64gb = 160,000
HUAWEI P30 LITE ram 4/128gb = 250,000
HUAWEI P20 LITE ram 4/128gb = 190,000
HUAWEI P10 LITE ram 4/64gb = 130,000
HUAWEI NOVA 3i ram 6/128gb = 190,000
HUAWEI NOVA 2 PLUS ram 4/128gb = 170,000
REDMI
MI Max 2 ram 4/64gb = 150,000
REDMI NOTE 4X ram 4/64gb = 120,000
REDMI PLAY ram 4/64gb = 150,000
SONY
XPERIA 8 ram 4/64gb = 190,000
Z1 COMPACT ram 4/32gb = 120,000
X PERFORMANCE ram 3/32gb = 110,000
XZ2 ram 4/64gb = 180,000
XZ PREMIUM ram 4/64gb = 170,000
XZ3 ram 4/64gb = 210,000
UTARATIBU
Ukihitaji simu, laptop au bidhaa yoyote ya electronics fika ofisini kwetu ofisi Mwenge ITV , Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa namba hii 0677 818283
Unafanya malipo ndio bidhaa yako itaagizwa.
Muda wa kusubiria mzigo wako ni siku 3 mpaka 7 (itategemeana na ratiba za ndege na upatikanaji wa mzigo wako kwa haraka.
Tumerudi tena kazini karibuni sanaa.
natafuta simu flani hivi inaitwa unihertz titanBei nyingi ni sawa na za machimbo ya kariakoo..mfano Google pixel 3a 220,000-240,000 unapata na 4a ni 320,000..nilitegemea kwa huko Dubai ingekuwa chini zaidi. Lakini pia ata Oppo A57 bei kariakoo ni 100,000 pia. Hizo nyingine Sina uzoefu nazo sana ila kwa hizi chache sioni unafuu uliopo.
Lile li simu ni likomando haswanatafuta simu flani hivi inaitwa unihertz titan
Sorry mkuu nitakudanganya, sijawahi kuiskia ila kwa simu brand common ningeweza kuwa na msaada kwauchache maana pia sio mbobezi sana kwenye simu ila kwenye mitumba ndo kwangunatafuta simu flani hivi inaitwa unihertz titan
Bei nyingi ni sawa na za machimbo ya kariakoo..mfano Google pixel 3a 220,000-240,000 unapata na 4a ni 320,000..nilitegemea kwa huko Dubai ingekuwa chini zaidi. Lakini pia ata Oppo A57 bei kariakoo ni 100,000 pia. Hizo nyingine Sina uzoefu nazo sana ila kwa hizi chache sioni unafuu uliop
Mkuu chimbo kariakoo la kupata y7 huawei au oppo f11 nisaidie?Bei nyingi ni sawa na za machimbo ya kariakoo..mfano Google pixel 3a 220,000-240,000 unapata na 4a ni 320,000..nilitegemea kwa huko Dubai ingekuwa chini zaidi. Lakini pia ata Oppo A57 bei kariakoo ni 100,000 pia. Hizo nyingine Sina uzoefu nazo sana ila kwa hizi chache sioni unafuu uliopo.
Na hitaji Xiaomi redmi 11 lite nipe beiUTARATIBU WETU UPO HIVI
Simu hizi ni za kuagiza kwa oda kutoka Dubai.
Tuna ofisi dar es Salaam ambapo mteja atatakiwa kufanya malipo ofisini kisha simu itaagizwa na ikifika dar es salaam atajulishwa kuja kuichukua.
Kama mtu yupo nje ya Dar es salaam basi anatakiwa atume hela kisha ataagiziwa simu na kusafirishiwa mpaka alipo.
AU
Atume mtu wake aliyepo Dar aje ofisini alipie kwa niaba yake kisha simu itakapofika huyo mtu atakuja kuichukua nakukusafirishia.
inachukua siku 3 mpaka 5 kutoka Dubai mpaka Dar es Salaam.
Ofis ipo Mwenge ITV, Dar es salaam
0677 818283
Mkuu samahani ndugu yangu PM yako nmechelewa sana kuviona ila tupo pamoja ..acha nikahakiki tena vyanzo vyangu nitakuja hapa tena na kila jibu la maswali yenu.Mjuu
Mkuu chimbo kariakoo la kupata y7 huawei au oppo f11 nisaidie?