Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 743
- 1,305
- Thread starter
- #661
Sisi hatuna duka la simu..bali tunaagiza kwa niaba ya mteja ambaye anapenda kupata simu kutoka dubai ..Utapeli ni mwingi sanaa sana kwanini msikabidhiane mkono kwa mkono?
Wewe mwenye duka una wasiwasi wa nini hadi utake pesa kwanza?
hizi simu hata ukienda kariakoo zipo ila utapata simu ya uhakika kwa bei nzuri?