Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 808
- 2,155
Redmi turbo ntapata kwa bei ganiSamsung s22ultra 512gb = 1,450,000
iphone 13 pro MAX 512GB = 1,600,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Redmi turbo ntapata kwa bei ganiSamsung s22ultra 512gb = 1,450,000
iphone 13 pro MAX 512GB = 1,600,000
Pamoja au kama utapata aina nyingine ya Redmi embu nitajie ukitioa hizo 3 ulizopost kwenye uzihii simu ya kutafuta sana..
sio popular huku.
nikipata nitakurejea na bei yake
Ahsante..ukipata kutoka kampuni ya xiomi itapendezaSamsung s22ultra 512gb = 1,450,000
iphone 13 pro MAX 512GB = 1,600,000
Ahsante..ngoja niifanyie kazi hiixiaomi note 13 pro+ ram 12 storage = 512gb
Brand new 1,050,000
Bajeti yangu ni kuanzia 500k - 800kbajeti yako ni kiasi gani nikutafutie kutokana na bajeti yako.
kuna note 13 pro+ = 1,050,000
Unahitaji mfumo gani boss.Mfumo wa malipo na eneo la biashara vimemuharibia sana mwamba. Huwezi fanya biashara kwa mfumo wake alafu location Manzese🤣🤣
Utapeli ni mwingi sanaa sana kwanini msikabidhiane mkono kwa mkono?UTARATIBU WETU UPO HIVI
Simu hizi ni za kuagiza kwa oda kutoka Dubai.
Tuna ofisi dar es Salaam ambapo mteja atatakiwa kufanya malipo ofisini kisha simu itaagizwa na ikifika dar es salaam atajulishwa kuja kuichukua.
Kama mtu yupo nje ya Dar es salaam basi anatakiwa atume hela kisha ataagiziwa simu na kusafirishiwa mpaka alipo.
AU
Atume mtu wake aliyepo Dar aje ofisini alipie kwa niaba yake kisha simu itakapofika huyo mtu atakuja kuichukua nakukusafirishia.
inachukua siku 3 mpaka 5 kutoka Dubai mpaka Dar es Salaam.
Ofis ipo Mwenge ITV, Dar es salaam
0677 818283
Sawa mkuu umeeleweka.UTARATIBU WETU UPO HIVI