Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

AGIZA PLAYSTATION KUTOKA DUBAI

PS3 (used) na pad 2 = 250,000
PS4 (used) na pad 2 = 480,000
PS5 (used) na Controller 2 = 1,050,000
PS5 (mpya) na Controller 2 = 1,400,000
Hiyo ps5 used inakuja na games? Nataka nimchukulie kijana
 
Bei nyingi ni sawa na za machimbo ya kariakoo..mfano Google pixel 3a 220,000-240,000 unapata na 4a ni 320,000..nilitegemea kwa huko Dubai ingekuwa chini zaidi. Lakini pia ata Oppo A57 bei kariakoo ni 100,000 pia. Hizo nyingine Sina uzoefu nazo sana ila kwa hizi chache sioni unafuu uliopo.
 
natafuta simu flani hivi inaitwa unihertz titan
 
Mjuu

Mkuu chimbo kariakoo la kupata y7 huawei au oppo f11 nisaidie?
 
Na hitaji Xiaomi redmi 11 lite nipe bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…