Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Mkuu upo Dubai au Karia Koo?
mimi nipo dubai..na hiyo video hapo ni warehouse ya photocopier huku dubai
contacts zangu +971582640133
Karibu

ofisi dar
Manzese Argentina
mawasiliano 0654156671
 
Boss naona Unaifualitia sana hii oda
Ngoja niiweke hii clear
Na mwenyewe aje athibitishe hapa kawombe
Mdau ameagiza Google pixel 5 128gb kama alivyoeleza hapo juu

Ameletewa oda tofauti badala ya Hiyo simu google pixel 5..imekuja google pixel 4 xl 128gb..

Hakuna tatizo na amekubali hii simu tuirudishe ije google pixel 5..kama alivyotaka..
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
kwann mkuu usiwe makini mtu kaagiza kitu kingne unamletea kitu kingine mkuu hii inapunguza uaminifu kwann usihakiki kabla ya kutuma au ulituma tu ukijua kama ataikibali tu ivyo ivyo
 
kwann mkuu usiwe makini mtu kaagiza kitu kingne unamletea kitu kingine mkuu hii inapunguza uaminifu kwann usihakiki kabla ya kutuma au ulituma tu ukijua kama ataikibali tu ivyo ivyo
Human errors hazikosekani mahala popote pale...
Tumelipokea na tunamletea mteja kile akitakacho hata kaa tutaingia hasara..
 
Habari
Naulizia order yangu vp leo inefanikiwa kuondoka uko au itafanikiwa kuondoka leo 28-8 kuja Tanzania?. Ili juma5 tarehe 30-8 Nikaichukue ofisini kwenu DAR.
Asante.
Inaondoka usiku huu..
kesho inafika
jumatano Wasiliana na ofisi dar
Hilo limeishaa Boss

Ahsante kwa kutuvumilia
 
Ili uaminike, inabidi ufungue ofisi DAR na mtu analipia ofisini Dar ili apate mtu wa kumkamata kama mambo yakienda ndivyo sivyo!! Watu walishalizwa kwa utaratibu huu!! Vinginevyo utumie utaratibu wa "pay on delivery", yaani mtu alipie baada ya kupokea mali!!
Hii imekaa vizuri
 
Back
Top Bottom