Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwann mkuu usiwe makini mtu kaagiza kitu kingne unamletea kitu kingine mkuu hii inapunguza uaminifu kwann usihakiki kabla ya kutuma au ulituma tu ukijua kama ataikibali tu ivyo ivyoBoss naona Unaifualitia sana hii oda
Ngoja niiweke hii clear
Na mwenyewe aje athibitishe hapa kawombe
Mdau ameagiza Google pixel 5 128gb kama alivyoeleza hapo juu
Ameletewa oda tofauti badala ya Hiyo simu google pixel 5..imekuja google pixel 4 xl 128gb..
Hakuna tatizo na amekubali hii simu tuirudishe ije google pixel 5..kama alivyotaka..
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
Human errors hazikosekani mahala popote pale...kwann mkuu usiwe makini mtu kaagiza kitu kingne unamletea kitu kingine mkuu hii inapunguza uaminifu kwann usihakiki kabla ya kutuma au ulituma tu ukijua kama ataikibali tu ivyo ivyo
Nahitaji Microsoft Surface Book 3 ( 10th generation or more), RAM 16 or 32 na hard disk iwe 512 GB au 1 TBLAPTOPS NA GAMING PC ZIPO
Inaondoka usiku huu..Habari
Naulizia order yangu vp leo inefanikiwa kuondoka uko au itafanikiwa kuondoka leo 28-8 kuja Tanzania?. Ili juma5 tarehe 30-8 Nikaichukue ofisini kwenu DAR.
Asante.
Please, hard disk ni SSDNalifanyia kazi nitakupa bei
soon
Uko na ofisi Dar?mimi nipo dubai..na hiyo video hapo ni warehouse ya photocopier huku dubai
contacts zangu +971582640133
Karibu
ofisi dar
Manzese Argentina
mawasiliano 0654156671
Angongeza bidii kwenye kilimoiPhone 150,000?
Ili inifikie huku Namanyere Sumbawanga, natakiwa kuwa na Bei gani mkononi?
Hii imekaa vizuriIli uaminike, inabidi ufungue ofisi DAR na mtu analipia ofisini Dar ili apate mtu wa kumkamata kama mambo yakienda ndivyo sivyo!! Watu walishalizwa kwa utaratibu huu!! Vinginevyo utumie utaratibu wa "pay on delivery", yaani mtu alipie baada ya kupokea mali!!