Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
naomba picharam 8
Storage 128
390,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba picharam 8
Storage 128
390,000
Sawa chief na LG Wing 5G bei je?ndio boss 5g
Mkuu nina mpango wa kuagiza iyo 4a naomba unihakikishie mzgo wngu naupataje🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
GOOGLE PIXEL KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA
3a 64gb = 270,000
4 64gb = 300,000
4a 128gb = 290,000
4 xl 64gb = 370,000
5 128gb = 370,000
5a 128gb = 400,000
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Nimefunguliwa leo, kuna raia baada ya kuwapa ukweli wao wakanishtakiKulikoni mteja wangu jamani umekula BAN
Shukrani kaka tupo pamojaMREJESHO! MREJESHO!! MREJESHO!!!.
Habari
Mm n miongoni mwa wateja was kwanza kwanza kufanya bznes na huyu bwana.
Kunako tarehe 11-8-2023 niliagizia simu kutoka kwake na malipo nilifanyia Manzese Argentina na kufika mpk kwao.
Hivyo nipo hapa kuthibitisha kua nimepokea mzigo wangu wa simu tarehe 30_8_2023. Pale ofisini kwao nilipo fanyia malipo.
Simu nimeipenda na Iko poa na haina changamoto yyte mpk Sasa.
Nina imani kua mungu akipenda tutafanya bznes zaidi n zaidi. Ila naomba uchukua ushauri kama sehemu ya changamoto TU.
Ushauri
Jitahidini kua makini na order za wateja wenu na kuzingatia chaguo lake kwa wakati sahihi.
Pia kuhusu siku za kupokea mzigo muweke 7 kwa 10 days. Ili ikiwa ndani ya cku husika au kuzidi kidogo sio mbaya.
Naona mkifika mbali na kuwezesha watu kutumia vitu vzr kwa watanganyika. Na watoa wasi wasi mwenye kuangiza anaweza kuagiza.
Vijana tuweze kushikana mikono kwenye maendeleo kama haya.
Asanteni.
Mkuu nina mpango wa kuagiza iyo 4a naomba unihakikishie mzgo wngu naupataje