Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

naomba picha
IMG_20230829_094654.jpg
IMG_20230829_094709.jpg
IMG_20230829_094727.jpg
IMG_20230829_094743.jpg
IMG_20230829_094810.jpg

🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
GOOGLE PIXEL KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA

3a 64gb = 270,000
4 64gb = 300,000
4a 128gb = 290,000
4 xl 64gb = 370,000
5 128gb = 370,000
5a 128gb = 400,000
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
 
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Agiza sasa photocopier machine kwa bei nafuu sana kutoka dubai moja kwa moja
Bidhaa ni za mtumba lakini zinapiga kazi vizuri kabisa.
warrantee miezi 6
Baadhi ya bei za bidhaa ni
xerox 6400 = 500,000
xerox 7120 = 950,000
xerox 7220 = 950,000
xerox 7225 = 950,000
xerox 5335 = 1,050,000
cannon 2520 = 1,350,000
cannon 3525i = 1,700,000
cannon 4535i = 1,900,000
cannon 4551i = 1,900,000
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪kama unahitaji kupata taarifa zaidi nicheki
whatsapp: +971582640133
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
 
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
GOOGLE PIXEL KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA

3a 64gb = 270,000
4 64gb = 300,000
4a 128gb = 290,000
4 xl 64gb = 370,000
5 128gb = 370,000
5a 128gb = 400,000
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Mkuu nina mpango wa kuagiza iyo 4a naomba unihakikishie mzgo wngu naupataje
 
MREJESHO! MREJESHO!! MREJESHO!!!.
Habari
Mm n miongoni mwa wateja was kwanza kwanza kufanya bznes na huyu bwana.
Kunako tarehe 11-8-2023 niliagizia simu kutoka kwake na malipo nilifanyia Manzese Argentina na kufika mpk kwao.
Hivyo nipo hapa kuthibitisha kua nimepokea mzigo wangu wa simu tarehe 30_8_2023. Pale ofisini kwao nilipo fanyia malipo.
Simu nimeipenda na Iko poa na haina changamoto yyte mpk Sasa.
Nina imani kua mungu akipenda tutafanya bznes zaidi n zaidi. Ila naomba uchukua ushauri kama sehemu ya changamoto TU.
Ushauri
Jitahidini kua makini na order za wateja wenu na kuzingatia chaguo lake kwa wakati sahihi.
Pia kuhusu siku za kupokea mzigo muweke 7 kwa 10 days. Ili ikiwa ndani ya cku husika au kuzidi kidogo sio mbaya.
Naona mkifika mbali na kuwezesha watu kutumia vitu vzr kwa watanganyika. Na watoa wasi wasi mwenye kuangiza anaweza kuagiza.
Vijana tuweze kushikana mikono kwenye maendeleo kama haya.
Asanteni.
 
Shukrani kaka tupo pamoja
upo sahihi kwa maoni uliyotoa
Tunayafanyia kazi kuanzia leo hii hii

kuhusu simu hakuna mwenye uhakika wa mali kwa 100% kufanya kazi
una siku 90 (miezi 3) ya warrantee kuangalia simu kama italeta shida ya kisoftware..tutakutatulia
 
Bei reasonable hongera, vipi ushuru wa kuiingiza kwetu Tz? Imejumuisha?
 
Back
Top Bottom