Hapana,ukikosa kabisa mnajipigapiga hata million 500Taasisi unatoa hata milioni 5
Ni kucheza na akili zake tu, unahamisha mafungu tu!! Ili afurahi na kujiona mkubwa!! Pesa ambazo zilitengwa kufanya kitu fulani mnazikata mnapeleka kwenye gawio
Itakuwa wanakata kwenye budget zao za matumizi
Nani wa kuhakikisha hayo magawio ni sahihi, yani mfano labda walipaswa kutoa 800m, lakini wao wametoa 500m!
Au swala ni kutoa tu uonekane?!