TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Hii dunia bhana,kumbu kumbu Kubwa kwa Dada Aggii ni msambwanda
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Kaka
amepata malipo ya nini?
sjakusoma hapo.
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Jamani kwenye mambo kama haya ya kuumiza tujalibu kua serious, kila mtu ana madhambi yake
 
R. I. P
 

Attachments

  • IMG_1381.JPG
    IMG_1381.JPG
    91.8 KB · Views: 75
kila nilipojaribu kufungua habari imhusuyo huku nimekuta taarifa imefutwa !!!!
 
Back
Top Bottom