Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Allah amfanyie wepesi mwana wetuMmoja wa kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah amfanyie wepesi mwana wetuMmoja wa kike
Una picha yake?Mmoja wa kike
Sina na hakupenda kumuweka mwanae mitandaon ila ndo hivo yupo binti yakeUna picha yake?
I hope atakuwa mrembo kama mama yake na alifanya vema kuto mweka mitandaoni.Namuonea huruma Kajala kwa kumuanika mwanaeSina na hakupenda kumuweka mwanae mitandaon ila ndo hivo yupo binti yake
Haka kmasemo kuliwa na nyenyele huwa kana maana ganihii kitu tam tam ililiwa na nyenyele………...
Unaweza kudhani unachofanya ni sahihi kumbe unajionyesha ni kwa jinsi gani ulivyo mpumbavuApumzike kwa amani
Kwa undani zaidi soma kitabu cha UJASUSI wa KIDOLA na KIUCHUMI utajua nini hasa kilimuua.Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu.