kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Lini mkuu na kwannAgnes uliwahi taka jiua maskini daah
Leo Mungu kakuchukua siku imefika
Alirekodiwa video clip yupo naked na mtu wake anatwerk daahhh!akanywa vidonge ajiueLini mkuu na kwann
Washambenga muwe mnajifunza kuweka akiba ya maneno!Haina shida, hiyo habar imekaa kinafiki sana ndomana nime jbu kinafiki na mimi. Agnes haja faliki hiyo ni habar ya uzushi tu
Aisee yupo demu mmoja nilikuwa nimempangia ratiba si akafa ghafla! Nilitamani kwenda mochwari kumalizia mission. Kuna madem ni shida acha kabisa, nilipoambiwa kafa sikulala siku hiyo maana nilikuwa nimemiss bonge la target!Msimamizi WA Mochwari leo. Mmmghhh si bado atakua wa moto kidogo? Dah
duuuuh inalilah waina illaih rajiunMsimamizi WA Mochwari leo. Mmmghhh si bado atakua wa moto kidogo? Dah
Katuzulumu sana 😱zigo lote lile kasepa nalo dah...!
Ambacho naweza kukwambia ni kwamba Yesu alikuwa tofauti,kwanza kuna sehemu sikumbuki msatari anasema "aliutoa uhai waki kisha akauchukua" something like that.Au niseme Yesu alipokufa kuna kazi alikuwa anaifanya mojawapo ni kumnyanganya shetani funguo za mauti,lakini siku ya tatu alifufuka kama alivyosema.Wanadamu wengine wako tofauti naye.Mimi huwa naamini Biblia haijipingi ila uelewa wetu wa neno la Mungu hutufanya muda mwingine tuone kama inajipinga.Sababu kuuliza swali ni hiyo comment hapo juu,sijui unaweza kutoa msaada wakati namsubiri mwenye comment yake.
DuuuuuuMkuu stage za H.I.V ni uniform ndo maana zimeitwa stages kwasabb zinafanana na kwa wataalam tunaozijua naweza kukupima kwa macho ukiwa kuanzia stage 3 na 4 mtu anakuona tu anajua unachoumwa hata km una kilo 100
Hii haitumikiInnalillahi wainna ilayhi rajiuun
????Kwanini afe kwa upungufu wa damu ilhali binadamu tupo na tuna damu?
Be kinder!!!??You know what rafiki, the best we can do it be kinder to each other.
She is gone, gone too soon and only God knows where she will go. It could be Heaven, or it could be Hell. All these places are prepared for us human beings.
She may not have had the best manners in public according to some but you never know she just might have made peace with God.
She could be having a clean slate my friend. God works in ways we cannot see.
Believe it or not she is in a better place. Being harsh will only leave bitterness in your own heart. The best ypu can do is wish her well.
Hope and pray for her that all goes well. And let us pray for each other that when our time to depart is here, it shall be well with us, and ours.
Rest in Peace young lady.
umewaza nin mkuuDah sijui watapata picha nzuri ya kuweka kwenye frame....maana insta zote zina msambwanda..
Apumzike kwa amani
Ambacho naweza kukwambia ni kwamba Yesu alikuwa tofauti,kwanza kuna sehemu sikumbuki msatari anasema "aliutoa uhai waki kisha akauchukua" something like that.Au niseme Yesu alipokufa kuna kazi alikuwa anaifanya mojawapo ni kumnyanganya shetani funguo za mauti,lakini siku ya tatu alifufuka kama alivyosema.Wanadamu wengine wako tofauti naye.Mimi huwa naamini Biblia haijipingi ila uelewa wetu wa neno la Mungu hutufanya muda mwingine tuone kama inajipinga.
Lakini pia nimekumbushwa hapa nikukumbushe kwamba Yesu aliomba kikombe hicho kimwepuke,unakumbuka alipokuwa katika ile bustani?lakini akasema bali si kama nitakavyo mimi bali mapenzi yako yatimie.Kwa hiyo naweza sema mambo mengine huruhusiwa kwa ajili ya Bwana.
kama hapo umepata shida,twende kwenye sehemu nyingine ambapo wayahudi waliami mtu akiumwa au akiwa na dosari katika mwili wake aidha yeye au wazazi wake walitenda dhambi.Lakini walipomwuliza Yesu kwa habari ya yule kipofu toka tumboni aliwaambia huyu wala wazazi wake hawakutenda dhambi.Mambo mengine yanaruhusiwa kwa ajiri ya utukufu wa Mungu.Mchango wangu ni huo kwa sasa,huo ulikuwa ni mpango wa Mungu.Kwa kifupi Mungu alipanga Yesu afe akiwa katika umri huo,kwa sababu tunaamini hata kama vifo vinasababishwa na shetani Mungu huweza kuvizuia.Kwa hiyo kwa mtu anayeishi maisha ya kumpendeza Mungu jambo lolote linaweza tokea kwake kama Mungu ameliruhusu litokee.
Lakini pia kama ni ishue ya neno hata shetani alitumia neno la Mungu kumwambia Yesu ajirushe,Mungu atatuma malaika na hilo lilikuwa ni andiko lakini Yesu alimjibu kwa neno imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.Naomba hapa ujifunze kitu,kwa nini Yesu hakujirusha kwa kuwa neno lipo linasema Bwana atatuma malaika wake?Are we missing something about God?
kama kuna sehemu nimekosea ruksa kuelimishwa.