TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Tusipepese Maneno, ukiuwa kwa UPANGA utauliwa kwa UPANGA, hakuna kulala pema peponi hapo.

dhambi za watu wengine zi dhahiri, zawatangulia kwenda hukumuni, wengine dhambi zao zawafuta

1timotheo 5:24
marehemu hatajiwi mazambi yake jamani tumswalieeni mtumee hakun mkamilifu katk ardh binaadam tumeumbiwa kukosea japo makosa yapo tofaut tofaut
 
Wadau nilipita Mama Ngoma Health Centre Mwenge na kukuta watu wakilia kuuliza naambiwa Video Queen Masogange amefariki muda mfupi uliopita.

=========
UPDATES:
=========

Video queen maarufu Bongo Agness Gerald maarufu kama Agness Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama Ngoma Mwenge jijini Dar Es Salaam.

Alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu.

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
Bashite hakwepi lawama zote.
 
Tuombeane mema, sisi sio mahakimu wa kweli na tusihukumu watu kwa matendo yao. Ni Mungu pekee ndio hakimu wa kweli
Hakuna anayemhukumu mtu ila kasome biblia yako vizuri kama ni mkristo,kama biblia imesema "waliomkataa Yesu wamekwisha kuhukumia" sasa mimi nikisema kama hujampokea Yesu umekwisha kuhukumiwa kwani mimi nakuhukumu?Neno limeshakuhukumu muda mrefu mimi natumia neno(nakukumbusha tu) sasa liondoe kwanza neno kisha uje kwa anayelitumia neno.
Hakuna sala za marehemu,kila mtu Mungu atamuweka alikochagua wakati yuko hai(tusidanganyane),otherwise hakuna Jehanamu kwa sababu kila anayekufa wanasema "alazwe mahali pema peponi" ina maana Kuzimu hakuna watu?Wote wamelazwa pema peponi,mimi nikifa msiseme hivyo kwani sitaki kulala muda wote kuna muda nitahitaji kutembea tembea.
Hayo ndiyo Yesu aliita mapokeao ya wanadamu,watu hawafuati Mungu anasema nini wanafuata mapokea ya wanadamu,wanadamu hawana mbingu ya kukupeleka ukifa,Mungu pekee anayo mbingu kama utaishi katika njia zake.
Wewe ambaye uko hai je umechagua Mungu akuweke wapi siku ukifa?Moyoni mwako unashuhudiwa wewe ni wa wapi.Neema ipo leo kama utampokea Yesu hata ukifa lipo tumaini.Saa ya wokovu ni sasa ,endelea kucheza tu zamu yako inakujua hapo nafsi na roho zikiuacha mwili utakumbuka haya tunayoyasema.
Naunga mkono kuombeana mema kwa mtu akiwa hai tu,akishakufa hizo ni mbwembwe za wanaobaki.Mungu anamhukumu mtu baada tu ya kufa,kama unampenda mtu mwombee akiwa hai.Ni bora utoe pesa kumhudumia mgonjwa kuliko usimsaidie mgonjwa akiwa hai,kisha kifa unanunua jeneza la gharama na kuchukua video.You are wasting your resources.Tubadilikeni si muda wa kuchanganya wema na uovu.
 
Huu ni mjadala. Hata kama tuko tofauti... ndiyo hasa lengo la forum i.e. kujaribu kuondoa tofauti za kimtazamo kwa kujenga hoja. Stages za HIV siyo uniform. Zinatofautiana kati ya mtu na mtu kulingana na mambo mengi.
Mkuu stage za H.I.V ni uniform ndo maana zimeitwa stages kwasabb zinafanana na kwa wataalam tunaozijua naweza kukupima kwa macho ukiwa kuanzia stage 3 na 4 mtu anakuona tu anajua unachoumwa hata km una kilo 100
 
Yakobo 4:11-12
"Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu sheria, huwi mtenda sheria, bali umekuwa hakimu. Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine? ''

sihukumu mtu nimeweka maandiko, bsi ht huyo timotheo alikua anahukimu ila tunaangalia alifanya nini wakati wa uhai jibu alikua muuza sembe akiua watu kwa sembe hayo ni dhahiri
 
Du aise, nimejitahidi kupia nyuzi nione hata imekanushwa lakini wapi.

R.I.P Agy, so sad.
 
Hivi ni kweli kakamatwa?
Hajakamatwa isipokuwa amesafirishwa kufichwa ili kubadilisha Movie ili kuongeza utamu kuonyesha kuwa hakutumiwa na eti amehongwa fedha na Lowasa ili akanushe.
 
Hakuna anayemhukumu mtu ila kasome biblia yako vizuri kama ni mkristo,kama biblia imesema "waliomkataa Yesu wamekwisha kuhukumia" sasa mimi nikisema kama hujampokea Yesu umekwisha kuhukumiwa kwani mimi nakuhukumu?Neno limeshakuhukumu muda mrefu mimi natumia neno(nakukumbusha tu) sasa liondoe kwanza neno kisha uje kwa anayelitumia neno.
Hakuna sala za marehemu,kila mtu Mungu atamuweka alikochagua wakati yuko hai(tusidanganyane),otherwise hakuna Jehanamu kwa sababu kila anayekufa wanasema "alazwe mahali pema peponi" ina maana Kuzimu hakuna watu?Wote wamelazwa pema peponi,mimi nikifa msiseme hivyo kwani sitaki kulala muda wote kuna muda nitahitaji kutembea tembea.
Hayo ndiyo Yesu aliita mapokeao ya wanadamu,watu hawafuati Mungu anasema nini wanafuata mapokea ya wanadamu,wanadamu hawana mbingu ya kukupeleka ukifa,Mungu pekee anayo mbingu kama utaishi katika njia zake.
Wewe ambaye uko hai je umechagua Mungu akuweke wapi siku ukifa?Moyoni mwako unashuhudiwa wewe ni wa wapi.Neema ipo leo kama utampokea Yesu hata ukifa lipo tumaini.Saa ya wokovu ni sasa ,endelea kucheza tu zamu yako inakujua hapo nafsi na roho zikiuacha mwili utakumbuka haya tunayoyasema.
Naunga mkono kuombeana mema kwa mtu akiwa hai tu,akishakufa hizo ni mbwembwe za wanaobaki.Mungu anamhukumu mtu baada tu ya kufa,kama unampenda mtu mwombee akiwa hai.Ni bora utoe pesa kumhudumia mgonjwa kuliko usimsaidie mgonjwa akiwa hai,kisha kifa unanunua jeneza la gharama na kuchukua video.You are wasting your resources.Tubadilikeni si muda wa kuchanganya wema na uovu.
Kasome niliyemqoute.
 
sihukumu mtu nimeweka maandiko, bsi ht huyo timotheo alikua anahukimu ila tunaangalia alifanya nini wakati wa uhai jibu alikua muuza sembe akiua watu kwa sembe hayo ni dhahiri
Mungu ndie ajuae kile mtu alichodhamiria
 
Back
Top Bottom