Kama ni mbogamboga binafsi namshukuru Mungu kwa hiki kidogo 🙏Kwani mkuu kuna zaidi ya wao mbogamboga sasa hivi?!
Obviously ni CCM.Samahani naomba kuuliza.
Huyu mweshimiwa diwani ni chama gani?
😄Ngoja ninyamaze Mzee pascal asije sema oooh kuna ugonjwa katika nchi kwa sasa na huambukizwa blah blah blab
Roho yake na roho za marehemu wote zikapate pumziko la amaniWakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na na mwana JF mwenzetu.
=======================
View: https://www.instagram.com/p/DY_c5jZiIZ1/?img_index=1&igsh=MWlneTM1bzlwNXcxcw==
Ukiona pole za kina kiasi hicho ujue hao ni ndege wanaofanana.Samahani naomba kuuliza.
Huyu mweshimiwa diwani ni chama gani?
R.I.P mh.AgnesWakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na na mwana JF mwenzetu.
=======================
View: https://www.instagram.com/p/DY_c5jZiIZ1/?img_index=1&igsh=MWlneTM1bzlwNXcxcw==
Kama ndugu zake watamzika unasikitika nini?
Humu anatumia I'd gani?Nadhani ni natural death
Majizi ya kura.Ni CHAMA gani?