TANZIA Agnes Nasania Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba afariki Dunia

TANZIA Agnes Nasania Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba afariki Dunia

IMG_8879.jpeg
 
Mwenyekiti wa Halmashauri Innocent Msengi, Baraza la Madiwani, Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wametoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Watanzania wote kufuatia msiba huo.

Watanzania hao na mimi nimo au?

Kwamba amekufa kwangu siyo tatizo wameniudhi hao baraza sijui la madiwani kudhani ni mmoja wa waliosikitishwa na kifo chake.
 
Wakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na mwana JF mwenzetu.

Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Agnes Nasania Amos amefariki dunia ghafla.

Mwenyekiti wa Halmashauri Innocent Msengi, Baraza la Madiwani, Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wametoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Watanzania wote kufuatia msiba huo.

Poor Brain
Weka namba kama huna bando
 
Back
Top Bottom