Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hizo alizochora sio tatoo ni hina iyo kachorwa na ndo mana akasema bi haruc mtarajiwa
Hizo alizochora sio tatoo ni hina iyo kachorwa na ndo mana akasema bi haruc mtarajiwa
hizo zina tofauti gani na tatoo? mi naona ni kitu kilekile lugha tu ndio imebadilika,na uyo ametumia bi harusi mtarajiwa lakini haolewi leo wala kesho
Asante! Nikitaka kushangaa, mbona kama hina????! Nijuavyo mimi bint wa kiislam akitaka kuolewa (ingawa huyu siyo muislam) hupakwa hina miguuni na miononi, baadae hufutika pole pole.
tofauti hiko wapi tatoo na hiyo hina?
------- we manistuna unaonekana kilaza sana ushaambiwa hina inafutika sababu ni michoro ya rangi tu au piko na inafutika mda wowote hasa ukiosha sana ila tattoo hazifutiki zingine zinakaa kwenye mwili...hii ni hinna sio tattoo
Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
tofauti hiko wapi tatoo na hiyo hina?
hina na tattoo ni kitu kilekile
binafsi sionagi umaarufu wa huyu dada...
tofauti hiko wapi tatoo na hiyo hina?
binafsi sionagi umaarufu wa huyu dada...