GE2025 Agnesta Kaiza: Reforms azijafanyika lakini tusisusie uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amewataka wanachama na wapenzi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kutokata tamaa na kususia uchaguzi licha ya changamoto zilizopo kwenye mfumo wa uchaguzi nchini.

Akizungumza na wanachama katika hafla ya kupokea wanachama wapya wa Chaumma eneo la Kisukuru, Jimbo la Segerea, leo Julai 25, 2025 Kaiza amesema ni muhimu kwa wafuasi wa CHAUMMA kuendelea kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia na kuendelea kuamini katika uwezo wa chama chao.

Ameongeza kuwa kuacha kushiriki uchaguzi ni kuipa CCM nafasi ya kuamua kila kitu bila changamoto, jambo ambalo linaweza kudhoofisha demokrasia ya kweli nchini.

Ohoo, Daah, kuna msitari mwembamba sana kati ya Chadema na Chauma. Imenikumbusha the GREAT SCHISM.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amewataka wanachama na wapenzi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kutokata tamaa na kususia uchaguzi licha ya changamoto zilizopo kwenye mfumo wa uchaguzi nchini.

Akizungumza na wanachama katika hafla ya kupokea wanachama wapya wa Chaumma eneo la Kisukuru, Jimbo la Segerea, leo Julai 25, 2025 Kaiza amesema ni muhimu kwa wafuasi wa CHAUMMA kuendelea kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia na kuendelea kuamini katika uwezo wa chama chao.

Ameongeza kuwa kuacha kushiriki uchaguzi ni kuipa CCM nafasi ya kuamua kila kitu bila changamoto, jambo ambalo linaweza kudhoofisha demokrasia ya kweli nchini.

Msaka tonge
 
Mazingira yamebadilika sana. Analogically, 2015 na miaka kabla ya 2015, CCM ni kama walikuwa wanafanya wizi kwa njia ya utapeli. Sasa hivi wanafanya armed robbery, tena kwa kutumia military-grade weapons. Wanapora brazenly kwenye levels zote za uchaguzi.

CHAUMMA wasije hapa kulialia mbele ya safari.
 
Huyu Dada Hana Akili halafu Kuna watu wanamdanganya group flani kuwa atapita kupitia CHAUMMA,
 
Back
Top Bottom