PreGE2025 Agnesta Lambert: Mwaka huu wa 2025 mambo yanakwenda kuwa mazuri kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Agnesta Lambert ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) amesema kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria itasimama kidete na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia liyozinduliwa leo Aprili 8, 2025 mkoani Tanga.

Akiwasilisha salamu za kamati hiyo Agnesta amesema kuwa kampeni hiyo imebeba jina la Rais Samia ambaye watu wote wanaona anasimamia haki za Watanzania, na zaidi anahitaji haki itendeke.

Amesema mwaka huu wa 2025 ni wa uchaguzi, hivyo

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria inamtakia kila la heri Rais Samia Suluhu Hassan, na wanaamini mambo yanakwenda kuwa mazuri.

Njaa inapohamia kichwani ndipo kila ujinga hutamkwa
 
Unajitambua hongera.Achana na MAWAZO ya kuzuia uchaguzi
 
Mbona Chadema ilikwisha mfukuza, nani amemrudisha kwemye chama?
 
Another one down
 
Back
Top Bottom