Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani

Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia ladha tofauti za bia, pamoja na kusheherekea wazalishaji na wahudumu wa bia.

IMG_6022.jpg
 
Hiyo hamu ya kunywa bia unaitoa wapi kabla hatujamalizana na Dp world?
Hizo bia zikipanda kichwa kikuu huwezi kukumbuka chomolea!

Lakini fahamu fika kuwa vichanga vya kuanzia mwezi machi 2024 vitakuwa uthibitisho kwamba wazazi hawakushiriki kampeni ya kuokoa bandari, wao walikuwa busy wananyanduana tu.
 
Back
Top Bottom