AGRICULTURAL ENGINEERING kwa walokwshaisoma na wanaondelea kuisoma

Kama ni sua unabidi ujitoe muhanga lakini kama ni sjuit utakula shavu kiaina...
 
Karibu Departiment of Agricultural Engineering and Land Planning usiogope make unakuja kupata kile unachokihitaji Msuli kama kawaida, kinachohitajika ukipata Drawing Board nunua uje nayo make kuna course inaitwa Engineering Drawing inahitaji uwe nayo, na vitu vingne vya msingi.
" With best regard"
 
Course yeyote ya engineering is both a challenge and a fulfilment. Wish you all the best.
 
 
Bwana mdogo kachaguliwa hii kozi St.Joseph ila siielewi elewi vile, ni kazi zipi hasa baada ya kuhitimu atafanya na pia kuhusu ajira au wanapangiwa wizarani moja kwa moja!!??
 
wadau 2ckimbilie ajla wakat hatujapa qualification itakayo 2wezesha kupata hyo ajla 2nayo itafuta co cha mcng kukomaa na coz ulo chaguliwa na ajila imebak kama zal alvyo paa yesu!
 
mpe somo dogo anafikiri engineering ni kuuza sura na asifikiri ajira asome kwanza suala la ajira litafuata baada ya kumaliza
 
Eti mkubwa, umechaguliwa hi cooz st joseph songea au wp maana joining istruction yao cjaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…